aiseee nimeingalia hiyo video nimeshidwa kuelewa aliyelewa tafadhali anisimulie
Acha usela ndo utaelewaaiseee nimeingalia hiyo video nimeshidwa kuelewa aliyelewa tafadhali anisimulie
Jogoo wa mjini wamewikaaa...!Kumekucha
Makamanda mmechoka sasa JPM kawabana hadi mmehamia Malawi
Habari za nje ni muhimu ukizingatia hawa ni majirani zetu na juzi rais alikuwa Malawi kuzindua msimu wa tumbaku.Makamanda mmechoka sasa JPM kawabana hadi mmehamia Malawi
akitia maji itapowa wacha anyolewe kavukavu😎👹💩Ukiona mwenzako kanyolewa na wewe tia maji
.....akitia maji itapowa wacha anyolewe kavukavu😎👹💩
Makamanda mmechoka sasa JPM kawabana hadi mmehamia Malawi
Mungu ibariki Malawi
News development.
**Mahakama imekubali ombi la upande wa upinzani kuendelea na kesi ya kupinga matokeo.
**Rais mteule Peter Mutharika amewalaumu wabunge kuwa ndio wanaochochea vurugu.
**Baadhi ya wanajeshi na polisi jana walionekana mitaani huku wakishangiliwa na wananchi.
**Rais Mutharika amemfukuza kazi Mkuu wa Majeshi na kumteua kuwa mshauri wa usalama na ulinzi.
Peter Mutharika: Ziwa Malawi ni letu, hakuna umiliki wa pamoja, lazima tulinde mali yetu