Mgoyangi Senior Member Joined Feb 6, 2008 Posts 184 Reaction score 9 Apr 19, 2010 #1 Nasikia Kesho unasomwa mswada mpya wa Madini Bungeni -- na utasomwa mara tatu ndani ya Mkutano huu wa 19 wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania -- na kupitishwa. Mwenye taarifa zaidi na nakala ya Muswada wenyewe atumwagie hapa
Nasikia Kesho unasomwa mswada mpya wa Madini Bungeni -- na utasomwa mara tatu ndani ya Mkutano huu wa 19 wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania -- na kupitishwa. Mwenye taarifa zaidi na nakala ya Muswada wenyewe atumwagie hapa