Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Sote tujue kwamba KATIBA Y NCHI si mali ya CCM wala Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha Kisiasa ambacho tayari ni mchezaji wa mambo ya kisiasa nchini hivyo wakala wake yeyote KAMWE HAWEZI KUPEWA JUKUMU LA KUSIMAMIA njia za upatikanaji wa katiba mpya.
Kwa msingi huo, katika hili tunasema kwa kinya kipana kwamba CCM tumechezeana maeneo mengi sana kiutawala lakini KATIKA HILI LA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA YA NCHI KWA NJIA YA BARAZA LA TAIFA linalojumuisha wadau wote kwa pamoja, mkifanya mchezo kidogo tu basi msije mkasema hatukutoa ONYO la mapema juu ya hili!!
Chezeeni SHERIA ZA NCHI lakini si swala la KATIBA!!! Mheshimiwa Kikwete, here we are NOW COMING bila kurudi nyuma juu ya swala la upatikanaji wa katiba BILA SERIKALI KUJITIA DEREVA wa shughuli hiyo.