CR wa PROB
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 170
- 29
Kwa uelewa wangu mdogo sidhani hawa waliobaki mjengoni wanajadili mswaada wa katiba, bali wanamjadili Lissu na wenzake wote!!!! mimi nimesikitika sana baada ya kuona wabunge wanaowakilisha wanachi wanamjadili Lisuu na wapiganaji wenzake baada ya kujadilki mambo ambayo yanaweza kutusaidia!!
Kwa kifupi Bunge la Tanzania limevamiwa na maharamia wa KICCM
Kwa kifupi Bunge la Tanzania limevamiwa na maharamia wa KICCM