Muswada wa ajira kuwaenzi "locals"

Muswada wa ajira kuwaenzi "locals"

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
620
Reaction score
343
Wakuu Thinkers

Nimetumiwa SMS kwamba leo bungeni mnamo saa kuna muswada umesomwa kuhusu ku-empower locals na kwamba kazi zipewe wageni pale tu ambako locals hawana proffession hiyo. Na ikatanjwa kampuni ya TIGO kwamba ina ma-directors waegni wengi.

Je, ni kweli hili, mliosikia tujuzeni kwa uzuri zaidi, maana kama ni kweli basi habari hii ni moto wa kuotea mbali kulingana na ukweli kwamba foreigners kwenye employments zetu, basi hii ni burning issues hapa nchini.
 
Hili suala halihitaji muswada,,, lilipaswa liwe kwenye katiba, watanzania wanaishi utumwani hivi sasa, serikali ya tanzania na viongozi wake mpaka sasa wameshindwa kulinda ajira za watanzania,, wanakuja watu waovyo kabisa hivi sasa,, expat mpaka wahindi,waarabu,, wachina??? Vibarua kutoka china na india hamuwaoni jamani.. wapo watu ambao wanafanya kazi ambazo watanzania tunaziweza kabisa, leo hii wakenya na waganda wanaingia watakavyo humu kupiga kazi.. kwa wenzetu work permit kupatikana ni shughuli ila hapa zinatolewa kama pipi tu.. nchi imeoza mpaka basi na hapa ilipofika changes za uongozi ni muhimu,, watu wanajali familia zao na matumbo yao hata aibu hawaoni ndugu zao wanaishi utumwani!!! Shenzi kabisa huu utawala...
 
Tanzania hivi sasa ni taifa rahisi sana kwa wageni kuliko wenyeji, tuko kwenye ukoloni sijui niufananishe na ukoloni wa aina gani,, "ndani ya nchi yetu watu wananyanyaswa na mgeni mmoja wakienda kushitaki wanaambiwa waachane nalo kuna mikono ya wakubwa""
Ni wapi ajira ya mtanzania imelindwa??? Wizara ya kazi, kazi yenu nini?? au wawekezaji ndio muhimu kwa hivyo vikodi wanavyolipa kuliko utu wa wananchi wenu???
Hili suala lina hitaji mass demostration na sio kusubiri muswaada,,,
 
Hili suala halihitaji muswada,,, lilipaswa liwe kwenye katiba, watanzania wanaishi utumwani hivi sasa, serikali ya tanzania na viongozi wake mpaka sasa wameshindwa kulinda ajira za watanzania,, wanakuja watu waovyo kabisa hivi sasa,, expat mpaka wahindi,waarabu,, wachina??? Vibarua kutoka china na india hamuwaoni jamani.. wapo watu ambao wanafanya kazi ambazo watanzania tunaziweza kabisa, leo hii wakenya na waganda wanaingia watakavyo humu kupiga kazi.. kwa wenzetu work permit kupatikana ni shughuli ila hapa zinatolewa kama pipi tu.. nchi imeoza mpaka basi na hapa ilipofika changes za uongozi ni muhimu,, watu wanajali familia zao na matumbo yao hata aibu hawaoni ndugu zao wanaishi utumwani!!! Shenzi kabisa huu utawala...
Nchi ni wajuzi wa kucopy na kupaste policy,sheria na mambo mengi lakini itakapokuja kwenye utekelezaji ni zero minus kabisa! Kimsingi hata sheria zilizopo zinalinda vizuri tu wazawa lakini rushwa na kujali matumbo yao kila kitu kinanunulika nchi hii. Utashangaa watapitisha sheria kali ila watakaofaidika ni wale wanaotoa work permit kwa maana kwamba kitakacho tokea ni simply kupandisha dau la kupata work permit kimagumashi. Kote tunakofanyakazi yamejaa majamaa ya nje na yanafanya kazi za kawaida tu kwa malipo makubwa kuliko wazawa.

Kila wizara na idara sasa hivi watakuja na sera na miswaada ya kutongozea kura kwenye uchaguzi ujao lakini mark my word "hakuna mabadiliko chanya yatakayotokea" sheria itatumika kuwafaidisha maofisa wa uhamiaji tu. Ni sawa na kupandisha faini ya makosa barabarani hajasaidia kuondoa tatizo bali imewaongezea ulaji wazee wa fedha!
 
Suluhu la matatizo ya watanzania ni kubadilisha utawala na si vinginevyo,, kwa sasa watanzania wako utumwani na safari hii mabosi wao ni weusi wenzao. Hizi ni hadithi ooooh muswada,JK yupo kwa miaka 10,, CCM wapo kwa zaidi ya miaka 40 bado mtanzania ananyanyasika tu,,, watanzania wanaendesha bodaboda tu huku mtaani,kuuza mishikaki,kuimba mziki na kucheza shoo,, mama ntilie, ubaamedi, bongo movie dada zetu... Watanzania fanyeni maamuzi hali ni mbaya na itazidi kuwa mbaya tukiiendelea na hili genge la wahuni -CCM.. Tuko utumwani..
 
Hili suala halihitaji muswada,,, lilipaswa liwe kwenye katiba, watanzania wanaishi utumwani hivi sasa, serikali ya tanzania na viongozi wake mpaka sasa wameshindwa kulinda ajira za watanzania,, wanakuja watu waovyo kabisa hivi sasa,, expat mpaka wahindi,waarabu,, wachina??? Vibarua kutoka china na india hamuwaoni jamani.. wapo watu ambao wanafanya kazi ambazo watanzania tunaziweza kabisa, leo hii wakenya na waganda wanaingia watakavyo humu kupiga kazi.. kwa wenzetu work permit kupatikana ni shughuli ila hapa zinatolewa kama pipi tu.. nchi imeoza mpaka basi na hapa ilipofika changes za uongozi ni muhimu,, watu wanajali familia zao na matumbo yao hata aibu hawaoni ndugu zao wanaishi utumwani!!! Shenzi kabisa huu utawala...
Nimemsikia Msemakweli akiupinga, lakini sababu alizotoa zimeniacha hoi.
 
Suluhu la matatizo ya watanzania ni kubadilisha utawala na si vinginevyo,, kwa sasa watanzania wako utumwani na safari hii mabosi wao ni weusi wenzao. Hizi ni hadithi ooooh muswada,JK yupo kwa miaka 10,, CCM wapo kwa zaidi ya miaka 40 bado mtanzania ananyanyasika tu,,, watanzania wanaendesha bodaboda tu huku mtaani,kuuza mishikaki,kuimba mziki na kucheza shoo,, mama ntilie, ubaamedi, bongo movie dada zetu... Watanzania fanyeni maamuzi hali ni mbaya na itazidi kuwa mbaya tukiiendelea na hili genge la wahuni -CCM.. Tuko utumwani..

Suluhu ni kujenga Uchumi imara na Watanzania wazawa wakaweza kupenya ktk nchi jirani na mataifa ya nje. Elimu bora itazalisha wasomi/wahitimu watakao ondoa huu ulimbukeni wa wageni kuja kufundisha ktk shule zetu. Mwisho ni kuchapa kazi kwa bidii. Kinyume na hapo hata mimi siwezi ajiri majitu mavivu,majinga na majizi ktk biashara yangu!
 
Wakuu Thinkers

Nimetumiwa SMS kwamba leo bungeni mnamo saa kuna muswada umesomwa kuhusu ku-empower locals na kwamba kazi zipewe wageni pale tu ambako locals hawana proffession hiyo. Na ikatanjwa kampuni ya TIGO kwamba ina ma-directors waegni wengi.

Je, ni kweli hili, mliosikia tujuzeni kwa uzuri zaidi, maana kama ni kweli basi habari hii ni moto wa kuotea mbali kulingana na ukweli kwamba foreigners kwenye employments zetu, basi hii ni burning issues hapa nchini.
Zito amelielezea kwa mapana zaidi hilo swala bungeni,sikiliza marudio ya bunge saa. 6 usiku tbc1
 
I don't hate foreigners but I hate the way they perceive and treat us. On the other hand I hate the government for respecting foreigners and fail to protect the citizens.
 
Nani mtekelezaji wa hili sasa, maana kama ni bla bla tumeishazipata sana..
 
Hili suala halihitaji muswada,,, lilipaswa liwe kwenye katiba, watanzania wanaishi utumwani hivi sasa, serikali ya tanzania na viongozi wake mpaka sasa wameshindwa kulinda ajira za watanzania,, wanakuja watu waovyo kabisa hivi sasa,, expat mpaka wahindi,waarabu,, wachina??? Vibarua kutoka china na india hamuwaoni jamani.. wapo watu ambao wanafanya kazi ambazo watanzania tunaziweza kabisa, leo hii wakenya na waganda wanaingia watakavyo humu kupiga kazi.. kwa wenzetu work permit kupatikana ni shughuli ila hapa zinatolewa kama pipi tu.. nchi imeoza mpaka basi na hapa ilipofika changes za uongozi ni muhimu,, watu wanajali familia zao na matumbo yao hata aibu hawaoni ndugu zao wanaishi utumwani!!! Shenzi kabisa huu utawala...

Huwezi weka kila kitu kwenye katiba.
 
Mimi nashangaa sana jamani,yaani wametaja tiGO TUUU?Wakati makapuni hayo yapo mengi sana sana,nilishawahi kusema hapa,kuwa Makampuni ya SIMU,vinywaji,Cement,Power generation,Mining,haya yote yanahusika kupora kama sio kukwapua ajira za locals,but no body cares,sitoshangaa hawa jamaa wakiomba kuongezewa muda baada ya july,wakati hata kodi yetu ya PAYE tunaikosa kama anegepata locals serikali ingepata kodi nzuri tu sana,pamoja na mulitiplier effects katika uchumi,Jamani kama kuna mtu ana DOCUMENTS YA HAYO MAAZIMIO ATULETEE HAPA JAMANI,NAJUA itakuwa imetaja hata limit number yao,Qualifications zao.
Yaani tumekuwa wapole na watumwa nchini mwetu,natoa mifano ya live live tuunenda kesho,togo,Ghana,nimetaja hizo nchi mahususi,kama fani yako yupo mzawa wa pale hupati hiyo kazi,labda uwe na something special,Wazungu wengi na expert wengi wanasema wenyewe kuwa wanapenda Tanzania kwasababu wako huru,hawabugudhiwi,wanaweza kuwanyanyasa wafanyakazi bila wao kuchukuliwa hatua,cha msingi wanalipa kodi..,
Ndio maana uchumi wa nchi nyingine uko juu kwa sababu ya kutokuwa na haya mambo ya ajabu kama kwetu.
 
Mbona Hii Wanaisema Kila siku ya Kulinda ajira za Wazalendo. Tatizo hili si rahisi kama Tunavyodhani kwa maana Utoaji wa Work Permit na stay permit ni deal za Watu.

Kuna Mijitu Inaishi Migodini na Inafanya kazi usiku tu ili Isipigwe repatriation. Nchi Hii ni Nchi ya hovyo Kabisa kwenye Swala la Kuthamini Wazawa.

Tupo kama Wageni kwenye Nchi yetu kwa maana kazi hata za Kufagia na Kubeba kokoto Zinafanywa na foreigners ni Aibu. Tuchukue hatua October'2015 ili tubadirishe Mfumo Mzima wa Utumishi wa Umma.

Ni Kweli Swala hili wala haliitaji Mswada kwenda Bungeni, kwa Maana Serikali inazo Data zote za Makapuni na Mashirika yote yawe ya Nchi au hapa Nchini.

Hivyo ni swala la Kutoa Tamko kwa Waajili walio na Wafanyakazi wa Kigeni Kupereka Vielelezo Wizarani na Kwenye mamalaka za udhibiti wa ajira Ili Kujustfy umuhimu na Ulazima wa uwepo wa Foreigners kwenye shughuli zao hapa nchini. Simple like that Mpira Unakwisha.
 
kuna watu wengi wamekaa wanalaumu bila kutoa suluhisho kwa kifupi wizara ya kazi inapaswa ipongeze ingawa kuna wabunge hata hawaelewi kwanini mswada huu umekuja bungeni.Kwa kifupi wizara ya kazi ndio inasimamia maswala yote ya ajira lakini kumekuwa na vyiombo vingine ambavyo vimekuwa vinafanya kazi ambazo zinaingiliana na wizara ya kazi na vyombo hivi kwa kiasi kikubwa ndivyo vimekuwa vikitoa vibali kwa wageni hata pale kazi hizo zinaweza kufanywa na watanzania mfano ni kituo cha uwekezaji tic na idara ya uhamiaji wageni wakinyimwa vibali wanaenda kwenye taasisi hizo na kupewa vibali mfano wa tukio hilo ni pale wizara ya kazi ilipowanyima vibali waliokuwa ma expart toka afrika kusini waliokwenda kufanya kazi nbc bank hawa watu baada ya kukataliwa na wizara ya kazi alienda tic na kupewa vibali lakini mswada wa sasa utafanya chombo pekee cha kutoa vibali vya kazi kwa wageni iwe wizara ya kazi
 
Back
Top Bottom