wana jf, nini faida ya muswada wa sheria ya katiba kurudishwa bungeni ukajadiliwe upya wakati wabunge wa ccm ni wale wale wanaoongozwa na ushabiki wa kisiasa na wa upinzani idadi yao ni ile ile?, nn kitakachowabadilisha akina mwigulu, wasira etc?
Nawapongeza wabunge wa ccm na rais kikwete kwa ujumla
wana jf, nini faida ya muswada wa sheria ya katiba kurudishwa bungeni ukajadiliwe upya wakati wabunge wa ccm ni wale wale wanaoongozwa na ushabiki wa kisiasa na wa upinzani idadi yao ni ile ile?, nn kitakachowabadilisha akina mwigulu, wasira etc?
Na kweli hiyo katiba ni kwa ajili ya CCM mil. 5 na si watanzania mil. 40
Mswada umeshasainiwa
hii mkuu inachanganya vichwa sijui nani anayetupiga sindano za ganzi au nusu kaputi ili tusifikirie, na nikajiuliza maswali machache yafuatayo;
- muswada umesainiwa tar 10/10/2013 manaake tayari ni sheria, sasa kinachorudishwa bungeni ni muswaada au sheria?
- kwasababu kwa saini ya rais huu si muswaada tena bali ni sheria unajadiliwa kwa hati ya dharura au kwa msingi ipi?
- rais anasema wapeleke maboresho haraka, hivi tume ya warioba ya katiba mpya mbona kama imekufa tayari maan sasa mratibu mkuu wa mchakato ni rais mwenyeye hii ni haki watanzania?
- mlalamikiwa wa kwanza katika matatizo ya mchakato wa katiba mpya ni rais mwenyewe na wabunge wa ccm, kwanini wapinzani waendelee na mikutano na rais wakati amekwisha saini muswada?
- kama kweli mapendekezo ya uteuzi wa wawakilishi wa makundi hayakufuatwa na rais mwenyewe, je, haya mapendekezo kuna imani yataingizwa na kubadilisha uhalisia wa sheria hiyo ya mabadiliko katika "outcome" ya sheria yenyewe?
huu ni utamaduni wa kisiasa wa aina gani katika aina zote za "political culture" hapa duniani? Mbona haya ni tanzania tu jamani????????????????????
Hii mkuu inachanganya vichwa sijui nani anayetupiga sindano za ganzi au nusu kaputi ili tusifikirie, na nikajiuliza maswali machache yafuatayo;
- Muswada umesainiwa tar 10/10/2013 manaake tayari ni sheria, sasa kinachorudishwa bungeni ni muswaada au sheria?
- Kwasababu kwa saini ya rais huu si muswaada tena bali ni sheria unajadiliwa kwa hati ya dharura au kwa msingi ipi?
- Rais anasema wapeleke maboresho haraka, hivi Tume ya Warioba ya katiba mpya mbona kama imekufa tayari maan sasa mratibu mkuu wa mchakato ni Rais mwenyeye hii ni haki Watanzania?
- Mlalamikiwa wa kwanza katika matatizo ya mchakato wa katiba mpya ni Rais mwenyewe na wabunge wa ccm, kwanini wapinzani waendelee na mikutano na Rais wakati amekwisha saini muswada?
- kama kweli mapendekezo ya uteuzi wa wawakilishi wa makundi hayakufuatwa na rais mwenyewe, je, haya mapendekezo kuna imani yataingizwa na kubadilisha uhalisia wa sheria hiyo ya mabadiliko katika "outcome" ya sheria yenyewe?
Huu ni utamaduni wa kisiasa wa aina gani katika aina zote za "Political Culture" hapa duniani? Mbona haya ni Tanzania tu jamani????????????????????