Kwani msukuma ni mbunge wa ccm?Siamini jama ni Mbunge ktk Bunge la Tanzania
Siamini jama ni Mbunge ktk Bunge la Tanzania
Yaani huyu ndiye mwenye Serikali yake?Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?
Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.
Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:
1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?
2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?
3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?
Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.
Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.
Source: Star TV AJENDA 2020
Aisee! Sijui hao wapiga kura wake watakuaje.Siamini jama ni Mbunge ktk Bunge la Tanzania
Very good.Uko sahihi kabisa Mh.Mbunge.Na kuweka mambo sawa napendekeza ile amri ya kusimamisha mikutano iwe amended na kusema upinzani wasifanye mikutano hadi 2020,watuachie tulete maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
anafurahia matunda ya jiwe
Kwa kweli huwez wafananisha maana Mashinji ni doctor wakat polepole ni piga domo tumbo kupata chakulaMusukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?