GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?
Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.
Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:
1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?
2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?
3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?
Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.
Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.
Source: Star TV AJENDA 2020