Musukuma: Huwezi kumfananisha Polepole na Mashinji

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
968
1,000
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?

Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.

Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:

1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?

2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?

3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?

Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.

Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.

Source: Star TV AJENDA 2020
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921
2,000

Yaani huyu ndiye mwenye Serikali yake?

View attachment VID-20190217-WA0008.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
qambesi

Senior Member
Dec 6, 2018
114
250
Very good.Uko sahihi kabisa Mh.Mbunge.Na kuweka mambo sawa napendekeza ile amri ya kusimamisha mikutano iwe amended na kusema upinzani wasifanye mikutano hadi 2020,watuachie tulete maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni aibu tosha kwa MTU anayeitwa mh mbunge kuwa na hoja za kipuuzi kama hizo ,CCM bhn kwa kweli wameisha hadi wanatumia akili za la saba kujibu hoja badala yake hujibu vihoja ,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
qambesi

Senior Member
Dec 6, 2018
114
250
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?

Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.

Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:

1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?

2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?

3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?

Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.

Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.

Source: Star TV AJENDA 2020
Kwa kweli huwez wafananisha maana Mashinji ni doctor wakat polepole ni piga domo tumbo kupata chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom