Musukuma: Huwezi kumfananisha Polepole na Mashinji

Hivi ni kwa nini huko kenya bunge laosaa zingine waliita Agost house...????
Ili uwe mbunge hapo kenya(mirungi hutoka huku)unatakiwa uwe na sifa zipi...ie ki elimu,kwetu ni simple ie kujuwa kusoma na kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?

Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.

Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:

1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?

2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?

3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?

Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.

Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.

Source: Star TV AJENDA 2020
Na kweli Polepole hawafanani na Dr.Mashingi Huyu ni bw.Polepole yule ni Dr.Mashingi ccm oyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja za msukuma bwana zimekaa kikijiweni jiweni tu, ndiyo maana tukasema katiba iseme kugombea ubunge walau uwe na cheti cha form four cha walau hata FOUR ya 28. Yaani D zote 7 itasaidia kidogo.
 
Huyo Tv nawewe mleta mada na huyo mvuta tumbaku wote akili zenu sawa
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?

Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.

Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:

1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?

2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?

3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?

Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.

Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.

Source: Star TV AJENDA 2020

In God we Trust
 
Kuruhusu chama tawala pekee kufanya mikutano ya hadhara ni ubakaji wa demokrasia. Ni haki na wajibu wa upinzani kuizodoa Serikali hadharani kama inavyotoa fursa Katiba yetu ya JMT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumjadili Msukuma ni kufifisha uwezo wa kufikiri. Ni Tz peeke waziri au mbunge akienda nchi nyingine hata nafasi ya office attendant tu hawezi pata!
 
Musukuma amewashangaa watu wanaodai kwamba kama mikutano ya kisiasa imekatazwa mbona Polepole anazunguka nchi nzima kufanya mikutano hiyo na Mashinji akijaribu kufanya tu anakamatwa?

Katika kujibu hoja hiyo Musukuma amesema kwamba ni mjinga pekee ndiye atakaye mfananisha Polepole na Mashinji. Lakini kiukweli hawa ni watu wawili tofauti.

Musukuma ametoa tofauti ya Polepole na Mashinji kwa kusema kwamba:

1. Polepole ndiye mwenye serikali yake. Je, Mashinji anaserikali gani?

2. Polepole anatekeleza na kueneza ilani ya chama. Je,Mashinji anaeneza ilani gani?

3. Polepole anafungua miradi mbalimbali ya kiserikali, je mashinji anataka kufungua miradi gani?

Musukuma amesema ni bora Polepole aachwe afanye mikutano hiyo na Mashinji asubiri mpaka 2020 ndiyo aanze kuzunguka ila kwa sasa atulie.

Akiongezea kidogo msukuma amesema anafurahi serikali kumfutiaTundu Lisu mshahara kwani haoni faida yoyote ya kulipwa Mshahara kwa mbunge ambaye anazurura hovyo.

Source: Star TV AJENDA 2020
Licha ya kubebwa na ilani ya chama, bado Pole Pole yupo njema kihaiba kuliko Mashinji.

Mashinji amekaa kidaktari zaidi, anao ule muonekano wa kuyaweza maongezi ya daktari na mgonjwa kuliko ule muonekano wa mwanasiasa mwenye kujenga hoja hadharani. Mashinji yupo somehow dull.
 
Back
Top Bottom