ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
kwani Slaa alitolewa nduki kama huyu mzee wa uparaaaa!????
Slaa siku hizi karatu anaenda kwa bajeti tena kisirisiri. Tangu ufisadi wake wa mradi wa maji ulivyofahamika watu wana usongo naye sana...