Kama unaona thread ya mtu ina mushkel mweleweshe bila kutumia hayo maneno niliyobold kwa sababu yatamfanya ajisikie vibaya na kushindwa kuzingatia ulichomwambia. Samahani iwapo mleta thread ni mtu mnayetanianahis nic story BUT..Your mistaken in using proper words
Ukosea sana,mtua akianza kuisoma anakimbia,kwanza umetumia vifupisho vya kijinga ambavyo vina badili maana ya neno..CLIPIN sio sawa na SLEEPING, NAT sio sawa na NOT,acha sifa za kijinga na ku copy & paste.
Chukua aslimia 33.
Oky.. Oky.. Oky... I accept changes guys, I got you and I've changed..! Hop you are no longer mad at me guys..!