Mussa Ibrahim Iyombe: Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi akiwajibika

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Mussa Ibrahim Iyombe: Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi akiwajibika kama alivyoagizwa na Mh Rais kama ilivyo ada.

 
ivi inakuaje kuna kaimu katibu mkuu kiongozi wakati katibu mkuu kiongozi yupo?
 
Kwa ccm na tanzania hilo linawezkena kakaimu nafasi ya mtu aliyepo kama waliapishwa mawaziri wakati bungeni hawajaapa unategemea ni ni .bado mtakuja sikia kaimu Rais
 
Aisee Huu Utawala Wa Majibu Utakwenda Mbali Sana Tuwe Tayari Wenyewe Ccm Wanasema Huo Ndiyo Ufanyaji Kazi
Mungu Anafanya Kazi Tanzania
 
Back
Top Bottom