Musonye kwa hili umechemka

Musonye kwa hili umechemka

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,093
Kwa hili hapa Nicolas Musonye umechemka, leo nilikua naangalia game ya azam fc ya tanzania dhidi ya adama fc ya ethiopia, lakini nilivyoiona ile timu ya adama uwezo wake ni mbovu mno yaan timu hovyo kabisa na nilipouliza ile timu kule ethiopia inacheza ligi daraja la ngapi nikaambiwa kuwa ile timu inacheza ligi daraja la pili....hapo sasa ndo nikashikwa na mshangao kwa nini musonye aliikataa yanga kushiriki katika mashindano ya kagame ya mwaka huu kwa kisingizio kuwa yanga inapeleka kikosi B. Sasa hebu tujiulize ndugu wanamichezo hivi kikosi B cha Yanga na kile kikosi cha kwaza cha adama fc ni kikosi gani kingeleta ushindani wa kweli kwa haya mashindano ya kagame ya mwaka huu 2014 kule kigali!!!!
 
Uoga wa nini tena!! kwan yanga si walitaka kupeleka timu au wewe umesikia kuwa yanga walikataa kupeleka timu??
Yanga bila Canavaro,Twite,Okwi,Kiiza,Niyonzima,Msuva,Yondani,Ngasa na wengineo na wale wazungu wenu hiyo ndiyo yangu tunayoijua,sasa nyinyi mlitaka kupeleka yanga B,na kocha Nsagigwa nani akubali magumashi yenu...
 
Kwa hiyo ADAMA FC siyo Magumashi? Musonye alikula hela ya AZAM akatafuta mbinu ili washiriki. Kumbuka Mwanzo alitaka ziende timu mbili Yanga na Azam baada ya kushindwa kwenye hilo akaamua kuiondosha Yanga ili Azam waende.

Mwishi wa siku AZAM atakuwa bingwa wa Kagame cup kwa hela yake. Ngumu kupata hela Matumizi ya pesa rahisi sana tu
 
Azam hawezi kuchukua kombe kwa kikosi kile hata ahonge vipi marefa..................
 
Kwa hili hapa Nicolas Musonye umechemka, leo nilikua naangalia game ya azam fc ya tanzania dhidi ya adama fc ya ethiopia, lakini nilivyoiona ile timu ya adama uwezo wake ni mbovu mno yaan timu hovyo kabisa na nilipouliza ile timu kule ethiopia inacheza ligi daraja la ngapi nikaambiwa kuwa ile timu inacheza ligi daraja la pili....hapo sasa ndo nikashikwa na mshangao kwa nini musonye aliikataa yanga kushiriki katika mashindano ya kagame ya mwaka huu kwa kisingizio kuwa yanga inapeleka kikosi B. Sasa hebu tujiulize ndugu wanamichezo hivi kikosi B cha Yanga na kile kikosi cha kwaza cha adama fc ni kikosi gani kingeleta ushindani wa kweli kwa haya mashindano ya kagame ya mwaka huu 2014 kule kigali!!!!

Kila nchi ina utaratibu wake wa kupata wawakilishi wake kwenye mashindano khali hali ingawa mabingwa ndo upewa vipaumbele.....! Sasa wawakilishi toka Ethiopia ndo hao Adama city na hao wachezaji ndo first eleven yao hawajeleta second eleven kama walivyotaka kufanya yanga.
So still yanga is hopeless
 
Mkuu hauko sahihi...........jamaa wako kwenye Ethiopian Premier League ........ halafu wameiwakilisha YANGA liukweli kwa rangi hizi!!
Adama_City.png

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH]Full name[/TH]
[TD]Adama City Oromiya Football Club[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nickname(s)[/TH]
[TD="class: nickname"]Adama Kenema[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Founded[/TH]
[TD]1991[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Ground[/TH]
[TD="class: label"]Adama Stadium
Adama, Ethiopia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH] Capacity[/TH]
[TD]4,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Chairman[/TH]
[TD="class: agent"]Teshome Quankusie[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]League[/TH]
[TD]Ethiopian Premier League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]2010/11[/TH]
[TD]11th[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
31px-Kit_right_arm.svg.png
 
[h=2]Ethiopian Premier League Clubs - 2013/14[/h]

Champions

Yupo sahihi kabisa musonye , kwa sababu analinda hadhi ya mashindano hayo, akiruhusu chekechea kwa hizi nchi za afrika mashariki ambazo mashindano ndio yanawahusu kwa kiwango kikubwa , mashindano yatakosa thamani na kila timu itakuwa inalokoteza zalokauka mtaani na kupeleka kwenye mashindano hayo.
 
Vipi na wale waethiopia walioleta katimu kadaraja la pili wameongeza thamani ya mashindano au wamepunguza thamani ya mashindano????????????????
 
Uwepo wao ua kutokuwepo kwao hakuongezi wala kupunguza kito kwenye mashindano hayo, ijapokuwa mashindano yanawahusu lakini kwa sana ni kwa nchi za afrika mashariki tuu, wao ni kama waalikwa tuu
 
Mkuu hauko sahihi...........jamaa wako kwenye Ethiopian Premier League ........ halafu wameiwakilisha YANGA liukweli kwa rangi hizi!!
Adama_City.png

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH]Full name[/TH]
[TD]Adama City Oromiya Football Club[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nickname(s)[/TH]
[TD="class: nickname"]Adama Kenema[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Founded[/TH]
[TD]1991[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Ground[/TH]
[TD="class: label"]Adama Stadium
Adama, Ethiopia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH] Capacity[/TH]
[TD]4,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Chairman[/TH]
[TD="class: agent"]Teshome Quankusie[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]League[/TH]
[TD]Ethiopian Premier League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]2010/11[/TH]
[TD]11th[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
31px-Kit_right_arm.svg.png

Sidhani kuwa mleta maada kadai kuwa Adama haijawahi kuwemo kwenye Ethiopian Premier League! Ulichofanya hapa ni kuonyesha kuwa ilikuwepo 2010/2011, lakini hii ni mwaka 2014 mkuu na timu huwa zinashuka daraja mkubwa!
 
Uwepo wao ua kutokuwepo kwao hakuongezi wala kupunguza kito kwenye mashindano hayo, ijapokuwa mashindano yanawahusu lakini kwa sana ni kwa nchi za afrika mashariki tuu, wao ni kama waalikwa tuu
Hapo nyekundu hebu nifafanulie vizuri, ina maana mashindano haya yanazihusu nchi zile za tanzania, rwanda, uganda, kenya na burundi tu!!!!
 
Back
Top Bottom