Musoma

joe.

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
36
Reaction score
221
Niaje wadau?
Natamani kujua kuhusu Musoma.Sijawahi kufika. Napenda kujua uzuri na ubaya wake,if any.

Maeneo ya starehe, maeneo mazuri ya kuishi,gharama za maisha,hali ya hewa, etc
Ahsanteni.
 
Uzuri na ubaya wake kiaje? Maisha yake kivip? Unataka kwenda kuishi au kutembea? Haya mawili ndio yatatoa picha ya majibu sahihi.
Na musoma ipi unahtaji kuijua mjini vijijini?
 
Mleta mada jibu haya maswali kwanza then nitakufungukia kuhusu musoma
Uzuri na ubaya wake kiaje?
Maisha yake kivip? Unataka kwenda kuishi au kutembea? Haya mawili ndio
yatatoa picha ya majibu sahihi.
Na musoma ipi unahtaji kuijua mjini vijijini?
 
Musoma ni kamji kadogo kaskaz magharibi mwa Tz.

Gharama ya maisha ipo chini.
Starehe ni pesa yako tu ingawa hautapata starehe sawa na majiji makubwa kama dar au Mza.

Watu wengi wa huko ni wakorofi.

Hali ya hewa ni nzuri kwa ujumla.

Maeneo mazuri kuishi mi nadhani maeneo ya mtakuja na makoko yako poa.

Kiujumla ni kamji kahovyo kwa kuishi ila kama lengo ni kutafuta pesa na kusema fursa zipo.
 
Musama, ni sehemu nzuri kimaisha, hali ya hewa, hakuna ukorofi kama ujamchokoza mtu. Maisha ni safi, watu wake wakarimu iwe mjini au vijijini. Karibu kwetu Musoma
 
Ukigusa mke wa m2,umekwisha.
 
Niaje wadau?
Natamani kujua kuhusu Musoma.Sijawahi kufika. Napenda kujua uzuri na ubaya wake,if any.

Maeneo ya starehe, maeneo mazuri ya kuishi,gharama za maisha,hali ya hewa, etc
Ahsanteni.

Kuna ukumbi wa disco unaitwa metro hiyo ndio strehe kubwa zaidi kwa musoma. Pia kuna olive mess. Ni sehemu nzuri ya vinywahi iko ufukweni. Kuna pubs kama mbili hivi. Kuna sehemu ya nyama choma nimeisahau jina.

Kuishi nenda mtajuja au Makoko.

Gharama za maisha ni kama sehemu zingine. Bei ya via ni Ile Ile na vyakula bring yake ni ka haina tofauti pia. Samaki wanapatikana kwa wingi .

Hali ya hewa si mbaya sana. Hakuna joto saana. Kuna fukwe kama tatu hivi.

Ushauri: mademu wa pale mjini kuwa nao makini sana. Wengi wao wana mpenzi ya dawa sana.
 

duh! Ahsante kwa kunijulisha though
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…