Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wilaya ya Musoma vijijini inakabiliwa na baa la njaa kutokana na ukame wa muda mrefu uliokumba
Wanasema wanahitaji tani 3000 za chakula ili wauziwe kwa bei nafuu
Mbunge wa jimbo hilo Sospeter Muhongo amewataka madiwani wa kila kata kufanya tathimini kujua ukubwa wa tatizo