kwanza kabisa jisikie mwenye bahati kuja musoma... ni pahala pazur kwa kuish hakika utafurahia... gharama za maisha ni za kawaida tu kilo ya nyama ni elfu nne mpaka elf tano.. kilo ya unga ni vijisenti tu..
gharama za chumba zitategemea na aina ya chumba na sehem utakayo amua kuishi... kama utaamua kuish uswahilin huko au nje ya mji na ukataka chumba cha kawaida.. gharama zitapungua na kufikia mpaka elfu 20 kwa mwez.. ila kama utaish hapa kwetu mkendo na ukataka chumba kizur na full service (maji, umeme na kuangalia fainal za W.C bure) lazima tushikane mashart kwenye bili aisee...
onyo.. usipo lipa bili yetu utakiona cha moto