Muslims in South Afrika, stop hiding illegals!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,813
Reaction score
18,758
wasauzi "wanawasihi" muslims wa huko waache mara moja kuwaficha ma-illegals, kuwapa kazi au hata kuwapangisha, duh, i know where this is going, ee Mungu tunusuru ...




wawindwaji wameomba hifadhi wizara ya mambo ya ndani


fikiria kundi kama hilo linakuvamia, matatizo ya kisaikolojia utakayoyapata unaweza usipate ahueni tena baada ya hapo ...
 
Lakini mbona inasemwa hao mabwana ni wavivu kwamba kazi wanazozifanya hao wahamiaji wenyeji wanaona kinyaa kuzifanya sasa ugomvi unatoka wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…