Ukweli utabaki palepale kiongozi kama huyo hawezi kuongea ujinga kama huo,ni vema kiongozi awe na elimu dunia hata form four ili uweze kupembua vitu,wenzao wanaanzia na degree angalau moja thus why wanaweza kukaa na serikali wakabadilishana mawazo au kui criticize,ili ujue shule muhimu angalia BAKWATA wanavyotumika kuwahadaa MUSLIM,nadhani jibu unalo hapo ju ya bakwata
minaona mumechukua maneno machache katika speech yake,alivyosema kama mfumo kristo uta endelea tz basi nchi i dividiwe kwa waislam na wakristo,kama mtu msomi yeyote anayesikia atasema kuwa lengo lake ni kusikuwe na mfumo kristo serikalini.