sio wanatype wamehold picha yao ya pamoja, kama darasa vile ila ndo duh utadhani keyboard kumbe watu! Katunist bwana msisahau yule mdanish anaetafutwa na maharamia! Nawe watakutafuta pia!
Ulilazimisha kuwafananisha, au ulifungua usiku. Huyo mwninge wa kushoto ana hangaika kutafuta sura yake amesahau alisimama wapi wakati walipopiga picha. Ili kuwa ni picha ya kumbukumbu ya graduation