Muslim Hassanali asibezwe, amezichanga vizuri kuelekea 2020. Huyu hajanunuliwa bali amenunua!

Kwanza kabisa nimeambiwa Muslim ndiye aliyefadhili kila kitu kuanzia ukumbi wa mkutano, press yenyewena posho zote za waliohudhuria. Amefanya hivyo kwa kusudi maalum kabisa. Anaelewa anachokifanya.

Hassanali anaelekea CCM huku kukiwa na uhakika kuwa Zungu hatogombea tena ubunge 2020 baada ya kuhakikishiwa kuwa atakikalia kile kiti cha mhimili uliomezwa ambao kila kwenye press ya ikulu lazima awepo mwenye mhimili. Hivyo Zungu anaenda kustaafu kugombea jimbo la Ilala.

Muslim Hassanali anaingia moja kwa moja kuwa mmoja wa wadhamini wapya wa CCM yeye hana mawaa hivyo JPM atamkubali kutokana na fikra zilizojengeka.Pia Hassanali hahitaji siasa za kiuana harakati ambazo zipo Chadema kwa wengi wao. Hahitaji kupigana kufa na kupona eti kuhusu katiba mpya? for what? Hahitaji kujua kama nchi ina udikteta? Ili afanye nini? Yule kwanza hana cha kufia!

Sasa Hassanali anahitaji kuwekeza, anahitaji pesa ili aendelee kutamalaki Kariakoo. Hahitaji kuwa kama kina Lissu, Mnyika, Bony, Lema na wengine. Haina maana kwake. Shida yake siyo siasa. Hivyo Chadema hapamfai katu.

Kwanza ni mtu wa kupongeza kuweza kudumu Chadema kwa muda wote huo. Labda alitegemea kuwa 2015 mambo yangeenda sawa. Akapoteza, amepima siasa za serikali hii ya awamu ya tano akaona kukaa upinzani kutahitaji nguvu na msuli kwelikweli kupata jimbo kama mbunge. Ameona nguvu zinavyowagharimu kina Lema, kina Lissu. Ameona jinsi wanavyoteseka. Sasa yeye Hassanali mabadiliko ya kimfumo sijui katiba wala hayamsaidii maana hana cha kufia. Ni sawa na Rostam Aziz eti leo umwambie aingie Chadema apiganie katiba mpya? Si utasubiri hadi Yesu arudi?

Kwa kweli na kwa dhati kabisa kumuweka Muslim ndani ya Chadema kwa sasa ni kumuonea,mwacheni aende akasake maslahi! Huyu hajanunuliwa bali amenunua! Wapo ambao wakihama wala huhitaji kutumia nguvu kujua kama wamenunuliwa ila siyo huyu.

Nenda Hassanali nenda kasake fursa! Frustrations za siasa waachie wengine wapambane wewe siyo wa aina hiyo!
Kutishiwa kufilisiwa mali zako napo ni kununuliwa hata Msando alitishiwa kufungiwa biashara zake. Ambaye anunuliki mwenye biashara na asiemwogopa Magufuli na ccm yake ni Mbowe. Huwezi kumnunua Mbowe anayo madhaifu yake kama binadamu lkn katika bei Mbowe amewashinda ccm HANUNULIKI
 
Kwanza kabisa nimeambiwa Muslim ndiye aliyefadhili kila kitu kuanzia ukumbi wa mkutano, press yenyewena posho zote za waliohudhuria. Amefanya hivyo kwa kusudi maalum kabisa. Anaelewa anachokifanya.

Hassanali anaelekea CCM huku kukiwa na uhakika kuwa Zungu hatogombea tena ubunge 2020 baada ya kuhakikishiwa kuwa atakikalia kile kiti cha mhimili uliomezwa ambao kila kwenye press ya ikulu lazima awepo mwenye mhimili. Hivyo Zungu anaenda kustaafu kugombea jimbo la Ilala.

Muslim Hassanali anaingia moja kwa moja kuwa mmoja wa wadhamini wapya wa CCM yeye hana mawaa hivyo JPM atamkubali kutokana na fikra zilizojengeka.Pia Hassanali hahitaji siasa za kiuana harakati ambazo zipo Chadema kwa wengi wao. Hahitaji kupigana kufa na kupona eti kuhusu katiba mpya? for what? Hahitaji kujua kama nchi ina udikteta? Ili afanye nini? Yule kwanza hana cha kufia!

Sasa Hassanali anahitaji kuwekeza, anahitaji pesa ili aendelee kutamalaki Kariakoo. Hahitaji kuwa kama kina Lissu, Mnyika, Bony, Lema na wengine. Haina maana kwake. Shida yake siyo siasa. Hivyo Chadema hapamfai katu.

Kwanza ni mtu wa kupongeza kuweza kudumu Chadema kwa muda wote huo. Labda alitegemea kuwa 2015 mambo yangeenda sawa. Akapoteza, amepima siasa za serikali hii ya awamu ya tano akaona kukaa upinzani kutahitaji nguvu na msuli kwelikweli kupata jimbo kama mbunge. Ameona nguvu zinavyowagharimu kina Lema, kina Lissu. Ameona jinsi wanavyoteseka. Sasa yeye Hassanali mabadiliko ya kimfumo sijui katiba wala hayamsaidii maana hana cha kufia. Ni sawa na Rostam Aziz eti leo umwambie aingie Chadema apiganie katiba mpya? Si utasubiri hadi Yesu arudi?

Kwa kweli na kwa dhati kabisa kumuweka Muslim ndani ya Chadema kwa sasa ni kumuonea,mwacheni aende akasake maslahi! Huyu hajanunuliwa bali amenunua! Wapo ambao wakihama wala huhitaji kutumia nguvu kujua kama wamenunuliwa ila siyo huyu.

Nenda Hassanali nenda kasake fursa! Frustrations za siasa waachie wengine wapambane wewe siyo wa aina hiyo!
Ushasema Zungu hatagombea tena 2020,hivyo ni nafasi yake!!! Je,hapo hajanunuliwa? Au wewe wadhani kununuliwa ni kwa pesa tu??? Jiongeze
 
G sam nimeangalia hii post yako nimecheka kinoma hizo sifa ulizommwagia Hassanal. Ni kweli ccm inawanunua viongozi wa cdm, lakini kwa huyu Hassanal nawatetea. Huyu ni kama kaenda kuwaondolea nuksi ya kununua tu wapinzani.
Huyu kanunua kwenda Ccm, ndiyo maana gharama zote za ukumbi, posho za wajumbe wote waliohudhuria( kwa mujibu wa thread) kalipa yeye
 
Kwanza kabisa nimeambiwa Muslim ndiye aliyefadhili kila kitu kuanzia ukumbi wa mkutano, press yenyewena posho zote za waliohudhuria. Amefanya hivyo kwa kusudi maalum kabisa. Anaelewa anachokifanya.

Hassanali anaelekea CCM huku kukiwa na uhakika kuwa Zungu hatogombea tena ubunge 2020 baada ya kuhakikishiwa kuwa atakikalia kile kiti cha mhimili uliomezwa ambao kila kwenye press ya ikulu lazima awepo mwenye mhimili. Hivyo Zungu anaenda kustaafu kugombea jimbo la Ilala.

Muslim Hassanali anaingia moja kwa moja kuwa mmoja wa wadhamini wapya wa CCM yeye hana mawaa hivyo JPM atamkubali kutokana na fikra zilizojengeka.Pia Hassanali hahitaji siasa za kiuana harakati ambazo zipo Chadema kwa wengi wao. Hahitaji kupigana kufa na kupona eti kuhusu katiba mpya? for what? Hahitaji kujua kama nchi ina udikteta? Ili afanye nini? Yule kwanza hana cha kufia!

Sasa Hassanali anahitaji kuwekeza, anahitaji pesa ili aendelee kutamalaki Kariakoo. Hahitaji kuwa kama kina Lissu, Mnyika, Bony, Lema na wengine. Haina maana kwake. Shida yake siyo siasa. Hivyo Chadema hapamfai katu.

Kwanza ni mtu wa kupongeza kuweza kudumu Chadema kwa muda wote huo. Labda alitegemea kuwa 2015 mambo yangeenda sawa. Akapoteza, amepima siasa za serikali hii ya awamu ya tano akaona kukaa upinzani kutahitaji nguvu na msuli kwelikweli kupata jimbo kama mbunge. Ameona nguvu zinavyowagharimu kina Lema, kina Lissu. Ameona jinsi wanavyoteseka. Sasa yeye Hassanali mabadiliko ya kimfumo sijui katiba wala hayamsaidii maana hana cha kufia. Ni sawa na Rostam Aziz eti leo umwambie aingie Chadema apiganie katiba mpya? Si utasubiri hadi Yesu arudi?

Kwa kweli na kwa dhati kabisa kumuweka Muslim ndani ya Chadema kwa sasa ni kumuonea,mwacheni aende akasake maslahi! Huyu hajanunuliwa bali amenunua! Wapo ambao wakihama wala huhitaji kutumia nguvu kujua kama wamenunuliwa ila siyo huyu.

Nenda Hassanali nenda kasake fursa! Frustrations za siasa waachie wengine wapambane wewe siyo wa aina hiyo!

Time wil tell...
 
Kuwa spika lazima uwe mbunge sasa huyu Zungu akistaafu atagombea vipi uspika?hapo mwandishi naona umechanganya madawa
Si kweli

upload_2018-1-9_13-36-3.png
 
Kweli mkuu. Huyu hana effect kwetu kabisa.
Mi ningeumia iwapo kweli wangemchukua Prof Lipumba, kwa sababu ndio akili pekee ya maana iliyobaki Upinzani.
akili za akina Tundu Lissu na Lema huku kwetu kazi yao imebaki ni kuropokaropoka tu.
UPINZANI ungekuwa ushakufa kabisa.
 
Back
Top Bottom