E ermokiwa Member Joined Apr 7, 2013 Posts 15 Reaction score 0 Apr 7, 2013 #1 Ivi diamon rio ni mwanamuziki kutokea wapi na nyimbo zake ni za maadhi gan?
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,409 Reaction score 1,151 Apr 7, 2013 #2 Ni mwanamuziki kutoka nchini GAMBUSH na muzik anaopiga ni wa maadhi ya MAHEPE
gwandumi Senior Member Joined Oct 15, 2008 Posts 152 Reaction score 60 Apr 17, 2013 #3 Nyanidume said: Ni mwanamuziki kutoka nchini GAMBUSH na muzik anaopiga ni wa maadhi ya MAHEPE Click to expand... hivi iyo nchi ya gambushi ipo kweli?manake kuna simulizi niliisoma jamaa akasema Gambushi ipo kanda ya ziwa bariadi!...
Nyanidume said: Ni mwanamuziki kutoka nchini GAMBUSH na muzik anaopiga ni wa maadhi ya MAHEPE Click to expand... hivi iyo nchi ya gambushi ipo kweli?manake kuna simulizi niliisoma jamaa akasema Gambushi ipo kanda ya ziwa bariadi!...