JAXPAROW95
Member
- Feb 7, 2016
- 71
- 27
Kwanza hiyo music system yako kujizima ni protection yake tosha, angalia baadhi ya spika zako labda kuna baadhi zilikaribia kuungua na hivyo resistivity yake kuwa ndogo, ndipo inapopelekea kukata mziki na kujizima, pili angalia inatumia stk au Transistor, kama ni stk mara nyingine inakuwa tayari stk imeshaharibika ila haijaharibika kabisa, kiasi kwamba ikibadilishwa na kuwekwa nyingine mambo yanakuwa safi kama mwanzo.Habari wakuu, tatizo langu ni kwamba kila nkiwa napiga mziki kwenye redio yangu nikaongeza sauti tu basi inakata sauti yote hadi nichomoe power plug alaf nirudishe tena, sijajua tatizo nini ingawa ilikuwa inapiga music vizur sauti hadi 60 ila sahivi hata 30 utata.
subwoofer zake ziko mbili kila moja ni 8 ohms. Naambatanisha na picha
Nimecheki naona ina resistors zimefungwa kwenye heat sink lakin hizo stk sizifahamu kabisa hata muonekano, pia nmejaribu ku disconnect speakers za pembeni lakin bhado tatizoKwanza hiyo music system yako kujizima ni protection yake tosha, angalia baadhi ya spika zako labda kuna baadhi zilikaribia kuungua na hivyo resistivity yake kuwa ndogo, ndipo inapopelekea kukata mziki na kujizima, pili angalia inatumia stk au Transistor, kama ni stk mara nyingine inakuwa tayari stk imeshaharibika ila haijaharibika kabisa, kiasi kwamba ikibadilishwa na kuwekwa nyingine mambo yanakuwa safi kama mwanzo.
Resistors zimefungwa kwenye heat sink? Toba, hakuna kitu kikubwa kama kipande cha mkaa? Au transistors nazo unazifahamu?Nimecheki naona ina resistors zimefungwa kwenye heat sink lakin hizo stk sizifahamu kabisa hata muonekano, pia nmejaribu ku disconnect speakers za pembeni lakin bhado tatizo
Na je kwenye connection za output inatumia relay system?
Nashukuru kiongozi ntajaribu alaf nkifanikiwa ntaleta mrejesho hapaHiyo badalisha capacitor za filter hizo zenye microfarad kubwa kuanzia 2000 au 4200 nazani zitakuwa za 35V au 50V ukibadilisha hizo tatizo litakishwa maana zikichoka ndio hua zinafanya hivo unapoongeza sauti inakata
Duh sio mchezo, mi pia nina subwoofer yangu ya sea piano ilikula mzinga wa capacitor baada ya umeme kukata na kurudi kama mara 10 ikawa haitoi bass. Baada ya kung'oa capacitor na kuweka mpya mambo ikawa bam bam hadi leo iko mwake mwake.Hiyo badalisha capacitor za filter hizo zenye microfarad kubwa kuanzia 2000 au 4200 nazani zitakuwa za 35V au 50V ukibadilisha hizo tatizo litakishwa maana zikichoka ndio hua zinafanya hivo unapoongeza sauti inakata
nmezichomoa speaker kwenye circuit board nikazipima zenyewe continuity ili nijue kama coil za ndani zimeungua zikagusana ndo nikakuta inasoma continuity au huwa ni kawaida wa speakerNdugu, ni ndani kwenye circuit.
Upo wapinikusaidie kutatua tatizo lako? Kama ni Dar sawa.nmezichomoa speaker kwenye circuit board nikazipima zenyewe continuity ili nijue kama coil za ndani zimeungua zikagusana ndo nikakuta inasoma continuity au huwa ni kawaida wa speaker
Kwenye speaker usipime kwa kupitia continuity, itasoma kawaida. Pima kwa kupitia ohms kama inavyoonekana, kama ni ohms 4, 6, 8 nk.nmezichomoa speaker kwenye circuit board nikazipima zenyewe continuity ili nijue kama coil za ndani zimeungua zikagusana ndo nikakuta inasoma continuity au huwa ni kawaida wa speaker
pima kati ya coil terminal mojawapo na housing yake, inatakiwa isilienmezichomoa speaker kwenye circuit board nikazipima zenyewe continuity ili nijue kama coil za ndani zimeungua zikagusana ndo nikakuta inasoma continuity au huwa ni kawaida wa speaker
Niko mbezi ya kibamba , wew unapatikana wapi mkuu?Upo wapinikusaidie kutatua tatizo lako? Kama ni Dar sawa.
Nimekuelewa kiongoziKwenye speaker usipime kwa kupitia continuity, itasoma kawaida. Pima kwa kupitia ohms kama inavyoonekana, kama ni ohms 4, 6, 8 nk.
Continuity huwa inasoma ikiwa ni chini ya 75ohms so hakuna speaker yenye ohms hizo lazima itasoma kama short.
Shukrani kwa ufafanuzi mkuupima kati ya coil terminal mojawapo na housing yake, inatakiwa isilie
Mimi siyo fundi redio hata kidogo ila nina ujuzi na basic electronics ambayo nmesoma darasani kama msingi wa engineering course yoyote ileLuh!Ina maana ukimiliki music system lazima ujue sijui transistors,coil n.k?Au hapa ni mafundi redio ndio mnajadiliana?
Zile music system za Japan,ulaya na America siku hizi zi wapi?Naona mchina anatumaliza tu na vitu feki