Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?
Hivi akina Pfunk,Man walter na kina pancho wamesomea sound engeneer? Au Mrema wa precision air amesomea urubani? anyway si lazima nifanye mwenyewe, naamini wapo wataalamu ila hawajajaliwa kupata funds za kuanzisha studio zao
Dogo haya maisha ya sasa sio try and error,usijipe matumaini kuwa ni rahisi,enzi za kina P funky zimeshapita sasa ni ujuzi ulioenda shule,mara ya mwisho P Funk kutoa nyimbo au album ni lini?,Angalia ata hawa Bongo Movie!Watanzania sasa wanataka products bora na sio Bora Products.Lengo ni kukusaidia,sasa kama wewe unaleta utani,shauri yako,kwenye kazi akuna utani.......Muziki ni fani ,usifikiri kufoka foka tu ndo muziki......ni pm namba yako tufanye biashara.tunatoa Turkey solutions za studio za aina zote audio,video,Television studio na Radio Studio,ushauri,vifaa ,TCRA leseni n.k
tunafanya kazi na hawa BEHRINGER: Home