katika harakati za kuleta mabadiliko kutakuwa na ubunifu mpya kabisa. Mfano angalia kuna baadhi ya nyimbo za miaka mingi zinapendwa na wengi wa kila rika hadi leo mfano za akina Jim Reeves; "Rangi ya Chungwa"; "Vundela"; "Umkombochi" nk nk. Inaweza ikawa si katika maana hiyo strictly lakini inawezekana ku-improve.
yapo malalamiko kuwa Bongo Fleva imepoteza mwelekeo. Nyimbo nyingi zinafanana, beats wanaibiana; zinachuja haraka; mashairi yanafanana. styles, dressing nk nk.
Tunaangalia namna ya kuleta tofauti