Sasa huku si ndiyo kuhongwa Mkuu!? Vijisenti vyake vyote au nusu kampa binti Sky Eclat ajidai na mihogo ya kukaanga kwa kachumbari wakati vijisenti vyako huvigusi! 🙂🙂

Hahahaha Umeona eh! Hii kitu sikuwahi kuifanya ila wakati mzuri wa kumpiga bomu msure kwa pocket money akirudi huku yuko nyingi basi hapo hapo unapiga kigongo basi pocket money za wiki mbili unaweza kupewa kwa siku moja.

Sisi mnyonge wetu alikuwa mother, msure alikuwa anadai usichokuwa nacho hukihitaji, vyote unavyohitaji nimenunua. Sasa mambo ya walk man jamani wakati picnic watu wote wanazo.