Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama cha Act Wazalendo, Cyprian Musiba, ameeleza kuwa kuna njama zinazolengwa kumhujumu kwenye uchaguzi dhidi ya mpinzani wake, jambo ambalo amesisitiza kuwa hawawezi kukubali.
“Nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 87 hadi 90 kwa sababu huyo mwenzangu alishapewa nafasi 10, lakini pia sio mwadilifu. Aliwahi kufukuzwa na Mwenyekiti wake wa chama kwa ubadhirifu. Kwahiyo, Mwibara tunaletewa watu wabadhirifu ndo wawe viongozi?” amesema Musiba.