Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026

Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Kama wote tunavyojua kuwa huko Uganda inatarajiwa kufanya Uchaguzi Tarehe 15 Januari na kufikia sasa kampeni zimeendelea kupamba moto na kutaradadi huku washindani wakubwa kwenye Uchaguzi akiwa ni Bobi Wine wa NUP pamoja Yoweri Museveni wa NRM

Uzi huu utakusogezea Updates zote za kinachoendelea kwenye Uchaguzi huo ambao unafuatiliwa na Afrika nzima kwa sasa


ug.png
 
Back
Top Bottom