Museveni: Marekani wanajiona bora kupita kiasi

Museveni: Marekani wanajiona bora kupita kiasi

Motivation Uchwara hizo.

Kama Uganda ilikuwa inaweza bila Marekani kwa nini ilikuwa haisitishi kuomba mikopo na misaada?

Motivation za kipumbavu hizo za kujifanya wanaweza kumbe hakuna kitu..
 
Mr, you cannot change these systems even one day, you will only complain about white people, and the one who taught you that aid is a sin lied to you
Hata familia yakoo itasaidiwa hadi kufaa tena kwa dawa kutoka ulaya, watanunua smart phones kutoka china, watasoma elimu ya bure kuanzia primary hadi chuo kwa mfumo wa wazungu...hiki ndicho kinachowatesa hadi waarabu....hampendi mzungu ila anatumia Iphone from USA 😂😂😂😂
Kwa hiyo,mpaka wao wanasaidia,walikaa tu huo uwezo ukaja wenyewe? Kazi kula tunda kimasihara tu basi
 
Kutengeneza makombora sio sehemu ya maendeleo ni sehemu ya ugaidi hivyo wameendelea upande wa kigaidi wananchi hawana maisha mazuri
Nani kakwambia?! Kwa taarifa yako miongoni mwa nchi nzuri za kwenda kutafuta maisha kwa sasa ni Asia (hasa Japan na Korea...) kuna pesa ile mbaya!

Baki hivyohivyo na Uzwazwa wako. Huko Ulaya utaishia kula Mikate, kutembea na wanawake wa kizungu na kutumia iPhone. Watu hata nguo kununua zinawashinda. Marekani ndo kabisaaaa! Usipokuwa na akili utarudi teja au shoga
 
Kwa nini siyo rahisi??
Hapo kwenye mtazamo wa kujikana na kutojiamini ndiyo mzizi wa sababu ya kutopiga hatua.
Acha kuongea nadharia,huyo Museveni anakawakataa America then anaenda kuomba msaada China na Russia.
 
Nani kakwambia?! Kwa taarifa yako miongoni mwa nchi nzuri za kwenda kutafuta maisha kwa sasa ni Asia (hasa Japan na Korea...) kuna pesa ile mbaya!

Baki hivyohivyo na Uzwazwa wako. Huko Ulaya utaishia kula Mikate, kutembea na wanawake wa kizungu na kutumia iPhone. Watu hata nguo kununua zinawashinda. Marekani ndo kabisaaaa! Usipokuwa na akili utarudi teja au shoga
Umeambiwa North Korea na si Japan wala Korea Kusini.
 
Motivation Uchwara hizo.

Kama hakuna kinacho shindikana kwa nchi za Afrika kila mara kuomba mikopo na misaada?

Wana shindwa nini kujitegemea?
Kwa hiyo we nia yako akubali uhalali wa watu kutimuana ndiyo furaha yako?Haya tuangalie kama Waganda watakufa kwa kutolewa kwenye hiyo Agoa yenu.
 
Wewe mwenye Akili, Naomba nieleze ni maendeleo gani makubwa waafrika wamefanya bila usaidizi wowote ule wa kitaalamu au kifedha kutoka kwa wazungu.

Eleza angalau kwenye nyanja za kiuchumi, kielimu, kimiundombinu, kisayansi na kiteknolojia.
Si mmekula tunda kimasihara?
 
Kwa hiyo we nia yako akubali uhalali wa watu kutimuana ndiyo furaha yako?
Una elewa maana ya uhuru wa mtu na haki za binadamu?

Marekani haifosi watu wawe mashoga, mtu ndio huamua kuwa shoga kwa maamuzi yake

Ni sawa na nchi iunde sheria ya kwamba wazinzi na walevi wote wafungwe ndani.

Huko ni kuingilia uhuru wa mtu.


Haya tuangalie kama Waganda watakufa kwa kutolewa kwenye hiyo Agoa yenu.
Nakwambia hivi hata nchi yako ya Tanzania ina endeshwa na mikopo ya haohao wamarekani unao wapinga hapa.
 
Una elewa maana ya uhuru wa mtu na haki za binadamu?

Marekani haifosi watu wawe mashoga, mtu ndio huamua kuwa shoga kwa maamuzi yake

Ni sawa na nchi iunde sheria ya kwamba wazinzi na walevi wote wafungwe ndani.

Huko ni kuingilia uhuru wa mtu.



Nakwambia hivi hata nchi yako ya Tanzania ina endeshwa na mikopo ya haohao wamarekani unao wapinga hapa.
Swala utoe mkopo sema usipangie watu cha kufanya
 
Hizi akili hizi utakuja kusaidiwa mpaka familia yako ukiendekeza misaada nakwambia.
Hapo ulipo wakitokea ili wakupe kazi yani utafurahihuwezi
Wewe mwenye Akili, Naomba nieleze ni maendeleo gani makubwa waafrika wamefanya bila usaidizi wowote ule wa kitaalamu au kifedha kutoka kwa wazungu.

Eleza angalau kwenye nyanja za kiuchumi, kielimu, kimiundombinu, kisayansi na kiteknolojia.
Kweli kabisa wajibu kwa hoja sio kukaa vijiweni na kudanganyana
 
Motivation Uchwara hizo.

Kama Uganda ilikuwa inaweza bila Marekani kwa nini ilikuwa haisitishi kuomba mikopo na misaada?

Motivation za kipumbavu hizo za kujifanya wanaweza kumbe hakuna kitu..
Kama mikopo mbona hata China [emoji630] USA [emoji631] nakadhalika wanakopa
 
Akili Mgando kama Za Kwako.. kuna Siku watakubaka na Watoto wako ndani ili wakupe Msaada na Wewe utaona Sawa tu
Mkuu unabisha nini wakati Yoweri anazo pesa nyingi kuliko Rais Biden wa Marekani lakini raia wa Uganda ni masikini kuliko raia wa Marekani..unadhani ni kwanini?
 
Rais wa Uganda Yoweri Museveni hajaonesha wasiwasi kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.

Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa mfano wa Uganda kama "ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa".

Rais Museveni siku aliikosoa Marekani, akisema "wanajiona bora kupita kiasi" na "kimakosa wanafikiri kwamba nchi za Afrika haziwezi kusonga mbele bila uungwaji mkono wao".

"Kama Uganda, tuna uwezo wa kufikia malengo yetu ya ukuaji na mabadiliko, hata kama baadhi ya wahusika hawatuungi mkono," aliongeza.

----------

Uganda’s president said Sunday that the US government had overestimated its value to his country after Washington decided to remove the East African nation from a major trade pact over human rights violations.

The US said last week it was cutting Uganda as well as the Central African Republic (CAR), Gabon and Niger from the African Growth and Opportunity Act (AGOA) from January 2024.

The programme offers duty-free access into the world’s largest economy for sub-Saharan African countries that meet democratic criteria, which are assessed on a yearly basis.

In a letter to Congress, US President Joe Biden said that the governments of the CAR and Uganda had both “engaged in gross violations of internationally recognised human rights”.

Uganda has faced criticism from rights groups, the UN and Western powers over a harsh anti-gay law adopted in May.

But President Yoweri Museveni struck a defiant note on Sunday, telling Ugandans “not to be over-concerned by the recent actions by the American government in discouraging their companies from investing in Uganda and on removing Uganda from the AGOA list”.

“Some of these actors in the Western world overestimate themselves and underestimate the freedom fighters of Africa,” he said on X, formerly Twitter.

“As far as Uganda is concerned, we have the capacity to achieve our growth and transformation targets, even if some of the actors do not support us.”

His senior aide and son-in-law Odrek Rwabwogo had earlier said that Kampala was open to discussing the issue with the US, warning that the decision would hit Ugandan farmers and small business owners.

“While Ugandan trade through AGOA was insubstantial, growth of our exports to the US and other partners was an important pillar of our economic strategy going forward,” Rwabwogo said in a statement released on Wednesday.

Biden had called for the immediate repeal of the anti-gay legislation after it was passed, and threatened to cut aid and investment in Uganda.

The law adopted in May contains provisions making “aggravated homosexuality” a capital offence and imposes penalties for consensual same-sex relations of up to life in prison.
Tukiweza kuzivuna rasilimalo zetu na kuziuza wenyewe na kuwekeza kwetu. Pia tukaweza kujiongoza katika teknolojia tunaweza kujimiliki bila msaada wa mabeberu ila kwa uhalisia tulio nao yupo sahihi kwenye kutamka ila katika maslahi atapata tabu saana
 
Back
Top Bottom