and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,462
- 40,257
Kwenye usaili pale Lumumba wa kumpata msomaji makini mwenye kujiamini wa hotuba ya sisi wakatoliki yeye alipita kwa asilimia 98....37 reactions · 9 comments | Ila CCM wenzangu huyu dada mlimpa kibarua kizito hivi kweli mmemlupa 50 au yeye alichukua zaidi 🤣🤭 #superstarwakitaa😂🤣 | Antonia Lukosi
Ila CCM wenzangu huyu dada mlimpa kibarua kizito hivi kweli mmemlupa 50 au yeye alichukua zaidi 🤣🤭 #superstarwakitaa😂🤣www.facebook.com
Hili ndio tulishauri kwa Malawi, hata angeweka kura 55% si angekuwa kiongozi tu' 😂 😂 😂 😂 shida yetu ni kuwa we are not smart upstairs 😂😂Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki).
NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
"We!? There is no we!" She is not smart upstairs.Hili ndio tulishauri kwa Malawi, hata angeweka kura 55% si angekuwa kiongozi tu' 😂 😂 😂 😂 shida yetu ni kuwa we are not smart upstairs 😂😂
I didn't say she, please... I said we're not"We!? There is no we!" She is not smart upstairs.
Wewe na nani!? Na "She" !?I didn't say she, please... I said we're not
Malawi akili Zero Bashite Sifuri unategemea nini?tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki).
Internet imezimwa, Ugeni mzito toka kwa familia ya jirani. BOOM (97.6%).Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki).
NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
wazalendo mchongo je imekaaje hiiWapinzani mchongo wametuchosha
Basi nyie ki kiboko!Kwenye usaili pale Lumumba wa kumpata msomaji makini mwenye kujiamini wa hotuba ya sisi wakatoliki yeye alipita kwa asilimia 98....