Ile sinema tu lengo kumkimbiza Grace mugabeHa ha ha haaaa.
Kwani MUGABE hakuwa karibu na GESHI?
SawaProbably yes,si unakumbuka wabunge walitwangana?
Namibia au Botswana na chake hakipo katika uongoziSo Grace amekwenda wapi kwa sasa?
Kiuhalisia yule mama uongoz hakupewa na ZANU PF ila alipewa na MUGABE.Namibia au Botswana na chake hakipo katika uongozi
Ndiyo hivyo bossKiuhalisia yule mama uongoz hakupewa na ZANU PF ila alipewa na MUGABE.
Lakini ataish maisha ya kujificha kama digidigi.
Na Mubabe pia hata mali zake raia wanaweza ziharibu,jeshi lizilinde sana
Endelea kuwa karaiGeneral wa zimbabwe akodiwe tu jamani!
Tujichange east africa. Kenya ndio apeleke mzigo.
Watu wengine wanakera mikwara mingi kama jf ni ya baba yao acha nipigwe BANJaman jaman,amani Itawale,
Mods wakiona ushuz wenu watawapiga BAN wote, shaur yenu