Musa mkanga wanted

sio sisi bali ni vijana wanaoteswa na ufisadi
 
Hakipata tatizo lolote mtamuweka lema kwenye matatizo.
 
Ya arusha tuwaachie waarusha,wakitaka wauawane,wachinjane,biashara,kazi na amani itayoathirika ni yao,hongera jk kwa kujiweka kando kwenye hili kuanzia ishu ya umeya,kule kwa nassari na hili la sasa.
 
Ni kweli kabisa machalii lazima wafanye kazi. Watapigwa jiti/ wataf***** mbele ya familia zao hata baada ya miaka 10.
 

Tuwekeeni picha yake hapa, ili na sisi tukimuona mikoani tumfanyie kweli
 
Ingia Google, Andika jina lake pale kwenye kibox cha kutafuta - search. Pia waweza kutafuta picture na uandike jina lake. Picha itakuja. Ana sura mbaya kama roho yake
 

Itakua unapingana na kauli ya wana CDM (wao wana pesa sisi tuna Mungu) CDM ina Mungu kwa hiyo hawatamfanyia baya lolote.
 
Katika pitapita zangu mitaa ya a town nasikia huyu bwana na wenzake wawili waliomshtaki lema wanatafutwa na machali awaeleze kwanini wamemsababishia mbunge wao aangushwe! . Sorce, mimi.


Akili za viroba can't be a reliable source
 
Anastahili kutendwa ila siyo kumwuua!
 
Katumia haki yake ya kiraia na kikatiba yupo
sahihi,Lema awe careful na kinywa chake.
 
Picha tafadhali,nikimuona tuu,niwashtue machali.
 
machalii wa A town kwa jins nnavyowajua hawatamuacha kama tupac na notorius big lazma watamtoboa tu
 
ninavyoijua arusha inabidi huyu jamaa apewe ulinzi wa ziada.

Yaleyale ya afande sele na mwenzie, wanapigiwa yowe za mwizi mchan kweupe kisa politike...........?!,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…