Murugenzi wa chama cha waathirika (SHIDEFA) Biharamulo

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Inasikitisha na kuhuzunisha sana kuona anae takiwa kuelimisha ndiye anae poteza huyu jamaa anasambaza HIV kwa makusudi. anatembea na watumishi wa ndani hapa wilayani kwa kuwarubuni yeye ni mtu wa Ngara, na hawa dada zetu wengiwao hapa wana toka Ngara
 
anarubuni vitoto vidogo umuri wa wanae anatumia kigezo cha kabira lake (kihangaza) kuwapata. mkewake yuko hoi mwili ote umejaa mapele kiasi kwamba huwezi kumtazama marambili. (kumuradhi Anasubili siku) umauti umuchukue. Mashirika ya haki za watoto
 
tunaomba mfuatirieni mtu huyu. anafahamika vizuri japo mtaani ana jiita kwa majina haya (1) KAPAKU (2) MNYONGE (3) BABA IBRA. Hilo jina la tatu ni lamwanae.
 
dah muasirika,sasa mbona unamnyanyapaa hii habari ungeiweka kwenye wall ya wanabimlo kule fb ya biharamulo connection ningejua wewe sio mwoga.nitarudi
 
Sidhani kama busara imetumika hadi kufikia uamuzi wa kumleta hapa jamvini! Umeweka jitihada gani kuzuia kabla ya kuleta hapa?

Pili unawezaje kuthibitisha hizo tuhuma zako?
 
Hao unaosema wanarubuniwa c wanamjua fika huyo ni muathirika kwa nn wanamkubali?
 
Mkuu hii habari haipo kamili kiasi chake na nadhani tatizo hujaliweka sahihi.
1. Kama ni mwenyekiti wa Chama cha Waathirika ni wazi hao wafanyakazi wenzie wanamfahamu kwa hiyo wanafanya uzembe wa kukusudia kuambukizwa au kuongezewa maambukizi na bosi wao.
2. Suala la kusambaza HIV makusudi ni kosa kisheria, kwa hiyo suala la kuambukiza mabinti wadogo unaweza kushirikiana na wadau kulidhibiti tena kwa njia halali kabisa. (Ila kama ni mabinti wadogo kama wale wa Robert hotel hamna kesi hapo)
 
Mapenzi ni makubaliano kati ya watu husika, vinginevyo labda kama hao anatembea nao ni chini ya miaka 18.Kama anajulikana kuwa ni mgonjwa ni juu ya hao anao watongoza.
 
Sidhani kama busara imetumika hadi kufikia uamuzi wa kumleta hapa jamvini! Umeweka jitihada gani kuzuia kabla ya kuleta hapa?

Pili unawezaje kuthibitisha hizo tuhuma zako?

hata kuleta hapa ni jitihada
 
huoni kwamba anatoa mfano mzuri kwamba ukiukwaa nawewe unakua kama yeye au mke wake. maana nyie bila
 
Maporomoko kama una uhakika jamaa anasambaza ----- kwa makusudi. Toa taarifa Dawati la Jinsia na Watoto kituo cha Polisi Biharamulo. Kama hakuna dawati, mwaga ----- kwa OCD Biharamulo, kama hakuna ushirikiano funguka kwa DC Biharamulo kama hawa wote hawafanyii kazi taarifa zako. Ombi kibali cha maandamano ya kumlaani jamaa anaesambaza ----- Wilayani Biharamulo
 
Shukurani #KIBONGOMKUTI kwa ushauri ngoja nitafute ushaidi urio dhahili. kuna mabinti karibu 6 alio tembea nao. na mmoja kahama sehemu ya kazi kwa kushikwa na aibu. nitaongea nae nione kama atanikubaria kutoa ushahidi.
 
Huku kwetu kuna anejiita gusa unate jamani kamaliza.watoto wa watu anacheza na bahasha wadada kwa kupenda pesa wanajimaliza loh hasi huruma
 
Asante; Kwa kuanzia unaweza pia ukatoa taarifa ya kuwepo kwa vitendo vichafu vya Kiongozi mwenye dhamana ya Umma kwa SHIDEFA makao makuu, pia Idara ya Ustawi wa Jamii (Biharamulo) wanaweza kukusaidia kuwajenga Kisaikolojia wahanga kuhimili msongo wa mawazo pia utayari wa kufungua Kesi ya Jinai dhidi ya huyo Mkurugenzi wa SHIDEFA Biharamulo. Inauma saana.
 
Asante; Kwa kuanzia unaweza pia ukatoa taarifa ya kuwepo kwa vitendo vichafu vya Kiongozi mwenye dhamana ya Umma kwa SHIDEFA makao makuu, pia Idara ya Ustawi wa Jamii (Biharamulo) wanaweza kukusaidia kuwajenga Kisaikolojia wahanga kuhimili msongo wa mawazo pia utayari wa kufungua Kesi ya Jinai dhidi ya huyo Mkurugenzi wa SHIDEFA Biharamulo. Inauma saana.

Kwa Tanzania yetu viongozi wenye moyo wa kulipokea jambo hilo na kulishughulikia kisheria ni wachache sana hasa huyoo jamaa kama ana noti mfukoni, mfano mdogo ni yule binti wa Kapuya leo yuko wapi?
 
Back
Top Bottom