Huzuni imetanda kaunti ya Murang’a katika kijiji cha Kangema baada ya mvulana wa umri wa miaka 23 kuuliwa na mpenziwe kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 19.
Inasemekana wawili hao walikuwa na mzozo kuhusu simu ambao kijana huyo alimuuzia simu mpenzi wake na alibakisha deni la Kshs. 200 na alipoenda kudai fedha hizo ndipo ugomvi ukaibuka uliosababisha mwanamke huyuo kupandwa na mori na kumchoma visu
Wakazi wa Kangema walimkamata msichana huyo na kumpa kichapo cha mbwa kisha kumchoma moto
OCPD wa eneo hilo alithibitishatukio hilo na kuwaasa watu kutochukulia sheria mkononi
Miili ya watu hao imepelekwa katika hifadhi ya maiti ya Murang'a
Kenya matukio ya kutoa roho ya mtu ni kitu cha kawaida sana, uhai kwao hauna thamani sana, kesho mtasikia tukio lengine la mauaji ya kinyama, mimi ninaogopa hata kwenda kutembea Kenya siku hizi