Murang'a: Kijana wa miaka 23 auawa na mpenzi wake, wanakijiji walipiza kwa kumchoma moto hadi kifo


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,108
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,108 280
Huzuni imetanda kaunti ya Murang’a katika kijiji cha Kangema baada ya mvulana wa umri wa miaka 23 kuuliwa na mpenziwe kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 19.

Inasemekana wawili hao walikuwa na mzozo kuhusu simu ambao kijana huyo alimuuzia simu mpenzi wake na alibakisha deni la Kshs. 200 na alipoenda kudai fedha hizo ndipo ugomvi ukaibuka uliosababisha mwanamke huyuo kupandwa na mori na kumchoma visu

Wakazi wa Kangema walimkamata msichana huyo na kumpa kichapo cha mbwa kisha kumchoma moto

OCPD wa eneo hilo alithibitishatukio hilo na kuwaasa watu kutochukulia sheria mkononi

Miili ya watu hao imepelekwa katika hifadhi ya maiti ya Murang'a


Chanzo: Citizen Tv
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
678
Likes
1,377
Points
180
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
678 1,377 180
Unamuuziaje mpenzi wako simu? Dah! Huyo jamaa naye alikuwa kauzu!
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,678
Likes
6,257
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,678 6,257 280
Inaonyesha wanaume wamechoka kuonewa na wanawake wa pande hizo!hiyo ni onyo wametoa kwa wanawake wenye tabia km hzo
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
22,161
Likes
20,602
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
22,161 20,602 280
Inasikitisha sana...

cc: mahondaw
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,259
Likes
15,412
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,259 15,412 280
Kenye bhana....
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,411
Likes
7,570
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,411 7,570 280
kenya ubabe kwa wanawake ni noma, siku akuuzie aje kudai chake umuamshie dude mpaka kumchoma kisu.

naona wanaume wakajikakamua nao waka muwashia moto
 
amayabhu

amayabhu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
501
Likes
694
Points
180
Age
27
amayabhu

amayabhu

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
501 694 180
Duu mapenzi na pesa buanaaa!!!
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,612
Likes
7,305
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,612 7,305 280
Kenya matukio ya kutoa roho ya mtu ni kitu cha kawaida sana, uhai kwao hauna thamani sana, kesho mtasikia tukio lengine la mauaji ya kinyama, mimi ninaogopa hata kwenda kutembea Kenya siku hizi
 

Forum statistics

Threads 1,249,423
Members 480,661
Posts 29,697,977