Ni kitu gani kinakupa kero zaidi katika maisha yakoNikiwa jkt kamanda wetu tukikosea alikuwa akichagua watu wachache akiita kipangata basi mtaadhibiwa kinoma kuliko achukue group lote
Basi Mimi pia nimechagua tu Ku deal Na warembo!
DJ sepetu
HhahahahhhhBado nakula ujana kwanza pressure za ndoa baadae[emoji12]
DJ sepetu
Hakuna kitu sipendi joanah kama umbea nachukia sana kufuatiliwa ka mkia!Ni kitu gani kinakupa kero zaidi katika maisha yako
Bado unaishi kwenu?(kuwa mkweli)25
DJ sepetu
Nimependa nilipopigia mstari,umekuwa mkweliHakuna kitu sipendi joanah kama umbea nachukia sana kufuatiliwa ka mkia!
Ingawa napenda kufuatilia wengine[emoji12]
DJ sepetu
Wengine wakiwa Na kitanda sufuria kijiko bakuli anaona tayari!Hhahahahhhh
Unahisi ni kipi kigezo kikubwa cha mwanaume kujiona amekuwa tayari kuingia katika ndoa?
Unajiona wapi miaka mitano ijayo?(kiuchumi)Wengine wakiwa Na kitanda sufuria kijiko bakuli anaona tayari!
Wengine akiwa Na kibarua au ki salary!
Ila ndoa inahitaji psychological and mentally readiness bibie!
DJ sepetu
Tokea mtoto nilikuwa mkuda sana kusemelea wenzangu!Nimependa nilipopigia mstari,umekuwa mkweli
Kufatilia mambo ya wengine ni tabia zetu sana sana sisi wa kike,ni kitu gani kimekufanya uwe hivyo ulivyo?
Baby soon zamu yakoDuuu Baby J na mm niintavuuu
Najiona nikiwa DJ mkubwa zaidi nikiwa Na kampuni kubwa ya burudaniUnajiona wapi miaka mitano ijayo?(kiuchumi)
Jomoniiiiii....kumbe dogo!25
DJ sepetu
'Wivu ni kipimo cha mapenzi' unaamini hii kauli?Tokea mtoto nilikuwa mkuda sana kusemelea wenzangu!
Ila wivu Wa kimapenzi umechangia sana aisee ukiwa my baby utajuta nafuatilia ka kumbikumbi!
DJ sepetu
Woow!unapenda mzikiNajiona nikiwa DJ mkubwa zaidi nikiwa Na kampuni kubwa ya burudani
DJ sepetu
No am renting Na nyumba yangu iko finishing stagesBado unaishi kwenu?(kuwa mkweli)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] what goes around comes aroundThanks my pressure!
DJ sepetu
HongeraNo am renting Na nyumba yangu iko finishing stages
DJ sepetu
Bongo fleva rnb dance hall hiphop etcWoow!unapenda mziki
Unapendelea mziki wa aina gani?