Muongozo wa walimu kujitolea Kuna mwalimu aliyejitolea

Muongozo wa walimu kujitolea Kuna mwalimu aliyejitolea

Sea Beast

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
2,240
Reaction score
4,876
Kupitia ule muongozo wa walimu kujitolea je kuna mwalimu aliyefanikiwa kujitolea kwa muongozo uliotoka kuna mwalimu anataka ajitolee anataka utaratibu
 
Nasikia eti kulipwa mhusika atalipwa na bodi ya Shule kupitia michango na inaweza kupita miezi mhusika asilipwe.....
 
Back
Top Bottom