Sio mbaya kwa saving ya 6 months unapata kitu cha kupendeza, shukrani mkuuAround milioni huko ughaibuni, Tena brand ndogo, brand kama LG ni around 1.2m
Uzito ni around kilo 10, hivyo andaa kama laki 6 hivi usafirishaji.
Hivyo kuleta bongo itakucost around 2m.
Kenya naziona around 60k ambayo ni 1.2m ya huku.
Buy Monitors & Screens Online in Kenya â· Cheap Prices
Find the best, affordable Monitors & Screens for sale in Kenya on â Kenya's Safest Classifieds Website â. Get the best deals on monitors, gaming monitors, computer monitors and much more from trusted sellers on PigiaMe.www.pigiame.co.ke
Issue ya tv mkuu si quality, kuna tv zina quality kubwa tu ya picha na vikorokoro vyote sijui hdr10, 4k, Dolby atmos etc.Hii nilipata huko huko. Hapo nmeunganisha na laptop via vga. Nilishangazwa na quality yakeView attachment 1760922
Ooooooh!!! Dah! Basi kumbe sio bei nilichojua kitakua na kioo kidg sanaHapana ultra wide curve ni kubwa sana, inch 34 kupanda.
HII inakuzunguka kabisa.
Mkuu input lag inakuwa imeandikwa kwenye specifications au nitaujuaje ubora wake ktk TV kabla ya kununua?Issue ya tv mkuu si quality, kuna tv zina quality kubwa tu ya picha na vikorokoro vyote sijui hdr10, 4k, Dolby atmos etc.
Tatizo ni input lag, hasa kama unacheza online, ila unabonyeza button mpaka reaction kuja kutokea kwenye TV inakuwa sio real-time.
Wana andika ndio sema sio TV zote. Na bei za TV zenye input lag ndogo zinakuwa kubwa sana, even Wachina kina TCL na hisense unakuta ni karibia milioni 2.Mkuu input lag inakuwa imeandikwa kwenye specifications au nitaujuaje ubora wake ktk TV kabla ya kununua?
Samahani mkuu, na ntajuaje hii ina input lag kubwa hii ndogo? Au haina kiwango inakuwa labeled to high input / low input lag?Wana andika ndio sema sio TV zote. Na bei za TV zenye input lag ndogo zinakuwa kubwa sana, even Wachina kina TCL na hisense unakuta ni karibia milioni 2.
Best Gaming TV for 2026: Get the Lowest Input Lag and Highest Picture Quality - CNET
Our picks for the best gaming TVs of 2026 boast great image quality and minimal delay for a competitive edge.www.cnet.com
SI unit yake ni sekunde,Samahani mkuu, na ntajuaje hii ina input lag kubwa hii ndogo? Au haina kiwango inakuwa labeled to high input / low input lag?
inawezekana thermal paste imeisha ama feni halifanyi kazi ama ipo eneo mzunguko wa hewa ni mdogo.Wakuu kwan tatizo la PC kupata moto sana huwa ni nin kinasababisha
Mkuu wangu naomba maoni yako hapa hii pcelitebook 2570PWana andika ndio sema sio TV zote. Na bei za TV zenye input lag ndogo zinakuwa kubwa sana, even Wachina kina TCL na hisense unakuta ni karibia milioni 2.
Best Gaming TV for 2026: Get the Lowest Input Lag and Highest Picture Quality - CNET
Our picks for the best gaming TVs of 2026 boast great image quality and minimal delay for a competitive edge.www.cnet.com
3rd gen hii mkuu labda kama unaipata laki 3 kushuka.Mkuu wangu naomba maoni yako hapa hii pcelitebook 2570P
Muone Stefano MtangooChief nisaidie nataka kujifunza web development.msaada mkuu
amelike hio post utampata kwa hapo piaOk mbona page haifunguki mpaka mwisho
Mkuu naomba kujua maana ya neno CRACKED or crack kwenye mambo ya program.......mfano kuna link ulinipa nmeona wameandka ....download cracked adobe photoshopamelike hio post utampata kwa hapo pia
definition rahisi ni software za kulipia zimeongezwa/kupunguzwa vitu ili zitumike bure.Mkuu naomba kujua maana ya neno CRACKED or crack kwenye mambo ya program.......mfano kuna link ulinipa nmeona wameandka ....download cracked adobe photoshop
Ahaaaa shukran mkuu ....Uzi huu udumudefinition rahisi ni software za kulipia zimeongezwa/kupunguzwa vitu ili zitumike bure.
Mkuu!! Hiv hiz graphics card kama hii yangu inaweza kuwa inakula ememe sana mfano kama nikitumia siku nzima naweza tumia unit 5?....definition rahisi ni software za kulipia zimeongezwa/kupunguzwa vitu ili zitumike bure.