Okay so hapo nitegemee matumiz ya umeme kwa wingiMkuu kuna Gpu 3 ambazo ni maarufu kwa hizi desktop za Oem kama Hp na dell.
Gtx 750Ti
Rx 550
Gt 1030
Rx 550 Ina nguvu Sema Sababu ni ya Amd driver zake ni Tia maji Tia maji. Inakula umeme around 50w. Siku hizi Amd ni Dili kwa wachimba cryptocurrencies.
Gt 1030 ni mpya Ina media capabilities kubwa na inakula umeme 30W tu ila haina nguvu kushinda hao wawili, Sababu Ina driver nzuri performance yake kwenye games inazidi 550.
750ti yenyewe ni ya kizamani haina media capabilities kubwa mfano haiplay 4k video, ila ina nguvu kushinda zote, kama ni gaming tu unajali hii ni bora zaidi. Pia Sababu inatoka gtx family unaweza stream games.
Kwa maelezo ya chief hapo angalia unahitaji zaidi kufanyia nini.Kwaiyo hapa mnanishauli VP wakuu
Yeah me pia naitaj kwa game tu so matumiz mengneKwa maelezo ya chief hapo angalia unahitaji zaidi kufanyia nini.
Ila kwa maelezo yake hapo nafikiri gtx 750ti ni nzuri zaidi hasa kama ishu ni games tu.
Hakuna inayokula umeme hapo hata 750ti ni 60w tu. Umaarufu WA hizo gpu ni kwamba hazili umeme zinakaa kwenye machine nyingi.,Okay so hapo nitegemee matumiz ya umeme kwa wingi
Sasa apo ulipo sema driver zake tia maji tia maji umeniacha kidg[emoji848][emoji848]Hakuna inayokula umeme hapo hata 750ti ni 60w tu. Umaarufu WA hizo gpu ni kwamba hazili umeme zinakaa kwenye machine nyingi.,
Mkuu kwenye games nguvu ya kifaa tu haitoshi, drivers za graphics pia zinatake role kubwa, drivers zikiwa nzuri basi games Ina play vizuri, drivers zikiwa mbaya na performance pia inakuwa mbaya.Sasa apo ulipo sema driver zake tia maji tia maji umeniacha kidg[emoji848][emoji848]
Mkuu vp ........una duka la PC auMkuu kwenye games nguvu ya kifaa tu haitoshi, drivers za graphics pia zinatake role kubwa, drivers zikiwa nzuri basi games Ina play vizuri, drivers zikiwa mbaya na performance pia inakuwa mbaya.
Nvidia Wana drivers nzuri kuliko Amd at least kwa windows.
hapana sina, na ukiwa na duka pia haimaanishi unakuwa na knowledge husika, nenda mtaani uone watu wanavyopigwa GT 610 na 710 ama gpu zifananiazoMkuu vp ........una duka la PC au
Maake sio kwa maujuzi hayo
Sawa. Mkuu ila nilitaka kuchukua coz jamaaa alikuwa ananiuzia laki, so ndio maana nikaja kutafuta muafaka View attachment 1721615hapana sina, na ukiwa na duka pia haimaanishi unakuwa na knowledge husika, nenda mtaani uone watu wanavyopigwa GT 610 na 710 ama gpu zifananiazo
ZOTAC GeForce® GT 710 2GB DDR5 ZONE Edition | Kisutu | Jumia
ZOTAC GeForce® GT 710 2GB DDR5 ZONE Edition for sale in Kisutu ✓ Find used or new Computer Accessories online on Jumiawww.jumia.co.tz
ni gpu kimeo kupita maelezo ila ndio madukani wanatambia.
Gpu gani hii?Sawa. Mkuu ila nilitaka kuchukua coz jamaaa alikuwa ananiuzia laki, so ndio maana nikaja kutafuta muafaka View attachment 1721615View attachment 1721616
X ndio hiyo mkuu RX 550Gpu gani hii?
Laki 1 sio mbaya mkuu.X ndio hiyo mkuu RX 550 View attachment 1721727
Kwaiyo unanishaul nichukue wakat najipnga kwa iyo 750ti CIO mkuuLaki 1 sio mbaya mkuu.
Ukishakuwa na 550 no need kununua 750ti, utofauti mdogo sana.Kwaiyo unanishaul nichukue wakat najipnga kwa iyo 750ti CIO mkuu
Ooooh! Sawa mkuu na VIP kujua kama INA shida maana wabongo unatufaham vzrUkishakuwa na 550 no need kununua 750ti, utofauti mdogo sana.
Kama unajipanga Aim 1650 ama 1050, hizi Zina version za low profile zinazomax 75W, unatumia nazo bila waya WA power supply.
Hilo ni matumizi Sasa mkuu,Ooooh! Sawa mkuu na VIP kujua kama INA shida maana wabongo unatufaham vzr
Dah! Sema mkuu processor yangu pia ndogo nikiweka setting za juu inaweza elemea kwenye processor Pentium g3250,ni ndg sanaHilo ni matumizi Sasa mkuu,
Download game kubwa LA kisasa weka setting za juu mpaka izidiwe jaribu kucheza kidogo,
Pia run benchmarks mbalimbali Kisha compare na wenzako online kama score zinafanana.
Wachina Wana tabia ya kubadili bios unauziwa gpu ndogo Kisha inabadilishwa jina kama Gpu kubwa.
Kanunue i7 yake, 80,000 tu kkoo, nunua Cpu waombe na cooler wanaweza kupa pia, zimejaa kibao, i7 4790 na hio rx 550 game yoyote unacheza as long as hutaki graphics kali.Dah! Sema mkuu processor yangu pia ndogo nikiweka setting za juu inaweza elemea kwenye processor Pentium g3250,ni ndg sana
Shukrani sana mkuu mzigo ni huuu nimeupata tayali hapa nazani nijipange kwa ajiri ya hiyo core i7Kanunue i7 yake, 80,000 tu kkoo, nunua Cpu waombe na cooler wanaweza kupa pia, zimejaa kibao, i7 4790 na hio rx 550 game yoyote unacheza as long as hutaki graphics kali.
Lakin nimeona made in China hapa[emoji848][emoji848][emoji848]Shukrani sana mkuu mzigo ni huuu nimeupata tayali hapa nazani nijipange kwa ajiri ya hiyo core i7View attachment 1721945