Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
- Thread starter
-
- #1,481
kwa budget hio mkuu unapata used tu, kwa mpya unaweza pata lakini usubiria deals za online na ununue online ije Tanzania.Mkuu mimi ningeomba tu, atleast unipe specifications za laptop ambayo ni latest na isizidi bajeti ya 850k, ambayo nitacheza games ngumu, kazi za graphics design, movies HD nitaona n.k..yn iwe generation ya ngapi, ram, HDD, na vikolokolo vingine ambavyo nikienda kwa supplier / seller napick tu na hawezi kunipiga
Hivi kaka hizi used abroad huwa hazisumbui?kwa budget hio mkuu unapata used tu, kwa mpya unaweza pata lakini usubiria deals za online na ununue online ije Tanzania.
hakikisha angalau ni gen ya 8 core i5 na iwe na dedicated graphics hata ikiwa low end kama nvidia 930mx ama 940mx si mbaya
mambo mengine kama ram, hdd etc si ya muhimu sana sababu unaweza ongeza mwenyewe mbele ya safari,
mifano ya laptop niliposearch online
-i5 8th gen na 930mx kwa 850,000
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture⦠near youwww.zoomtanzania.com
-i5 8th gen na mx110 kwa 800,000
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture⦠near youwww.zoomtanzania.com
used ni kubet mkuu,Hivi kaka hizi used abroad huwa hazisumbui?
Hivi kaka hizi site huwa zinatuma Tanzania kupitia masanduku ya posta?used ni kubet mkuu,
ila kama unanunua abroad weka hela yako pembeni muda wowote, kila siku angalia slickdeals ama woot ama site zifananiazo, unaweza pata laptop kali kwa $300 kushuka.
Unatumia forwarder kama myus ama ship and shop, around dola 30 mpaka 40 kwa kilo moja.Hivi kaka hizi site huwa zinatuma Tanzania kupitia masanduku ya posta?
Chifu msaada kuhusu hiii machine inaweza kupafom game vizr na VP kuusu latest game inawezaUnatumia forwarder kama myus ama ship and shop, around dola 30 mpaka 40 kwa kilo moja.
920M inatumia ddr3 haina tofauti sana na hio Intel HD 620.Chifu msaada kuhusu hiii machine inaweza kupafom game vizr na VP kuusu latest game inaweza
core i5_6200u...
Ram GB 8
Nvidia 920m..2gb
View attachment 1703095View attachment 1703096
View attachment 1703098View attachment 1703099
Thanks sana mkuu ila nina swali kidogo naitaji kueleweshwa920M inatumia ddr3 haina tofauti sana na hio Intel HD 620.
Itacheza games kwa quality ndogo 720p games za zamani na mpya kwa 480 mpaka 600p hivi.
Kwa nvidia tafuta zinaishiwa na mx kama 930mx, 940mx etc. Hizi Ndio low end mpya.
Na Gpu za zamani Hakikisha namba ya kati angalau ni 5 kupanda juu kama 960m, 750m, 850m etc hizi zina DDR5 angalau zina nguvu.
Overclocking ni kuiwezesha cpu kurun clock kubwa zaidi kuliko ile inayokuja nayo processor (stock)Thanks sana mkuu ila nina swali kidogo naitaji kueleweshwa
Nini..maana ya oveclocking.!?
Oooh!! So mkuu iyo GHz.ndio speed ya computer!?Overclocking ni kuiwezesha cpu kurun clock kubwa zaidi kuliko ile inayokuja nayo processor (stock)
Mfano cpu yako imeandikwa Quadcore 4.0ghz, unaweza ukai overclock kwenda 5.0ghz na performance itaongezeka 25%.
Sema most of times ni desktop zenye motherboard maalum Ndio zinaweza fanya hii kazi.
Ndio hizo ni idadi ya cycle.Oooh!! So mkuu iyo GHz.ndio speed ya computer!?
Shukran sana mkuu naitaj darasa sana ili niweze kuelewa kuusu haya mamboNdio hizo ni idadi ya cycle.
1 GHz ni sawa na cycle bilioni 1, ina maana kwa sekunde moja execution bilioni 1 zinafanyika kwenye cycle.
Ina maana cpu ya 4ghz ina execute cycle bilioni 4 Ila uki overclock hadi 5ghz ina maana Uta execute cycle bilioni 5.
Ila speed ya cpu si GHz pekee kuna factor nyengine Pia kama IPC ambayo ni idadi ya instruction zinafanyika kila cycle.
Anand tech website tumia, wana reviews nzuri sana, wanai Gia deep upande wa cpu, mwanzo utapata tabu Ila taratibu utakuwa Familiar na hizo terms.Shukran sana mkuu naitaj darasa sana ili niweze kuelewa kuusu haya mambo
Kaka:Overclocking ni kuiwezesha cpu kurun clock kubwa zaidi kuliko ile inayokuja nayo processor (stock)
Mfano cpu yako imeandikwa Quadcore 4.0ghz, unaweza ukai overclock kwenda 5.0ghz na performance itaongezeka 25%.
Sema most of times ni desktop zenye motherboard maalum Ndio zinaweza fanya hii kazi.
Hivi mkuu kama ukinunua powersuply kubwa ukaweka kwenye izi desk top zetu za core i5 inaweza let's mathara yeyote au powersupply zote ziko sawa tAnand tech website tumia, wana reviews nzuri sana, wanai Gia deep upande wa cpu, mwanzo utapata tabu Ila taratibu utakuwa Familiar na hizo terms.
Hakuna madhara, kama Haipo suitable automatic utashindwa kuweka.Hivi mkuu kama ukinunua powersuply kubwa ukaweka kwenye izi desk top zetu za core i5 inaweza let's mathara yeyote au powersupply zote ziko sawa t
Si process ngumu kuna hadi graphical interface wewe una slide tu, lakini unatakiwa hardware ziwe zinakubali.Kaka:
1.Nikitaka ku-overclock nafanyaje?Ni process ngumu sana?
2.Kuna hasara zipi/gani za ku-overclock CPU?
Shukrani mkuu!πππSi process ngumu kuna hadi graphical interface wewe una slide tu, lakini unatakiwa hardware ziwe zinakubali.
Hasara ni kwamba cpu inakufa upesi, sababu ya umeme mwingi na joto, Ila upesi hio kwa cpu badala ya kuishi miaka 30 itaishi miaka 10 ama 15, cpu zinaishi umri mrefu sana kutokana na material yake.
Kijana kasi yako ya kujifunza ni nzuri sana..Shukrani mkuu!πππ