Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
- Thread starter
-
- #541
huwa gpu inakuwa na port zake, zile sehemu za kuchomekea waya, sababu kazi ya gpu sio tu kuipa nguvu ya graphics computer, bali pia kukuongezea wewe option mbali mbali za kutumia computer yako.Yani hapo uliniacha kidogo unajua i used to be a slow learner clarification plz.
Mkuu hii si kwa kiswahil rahis yaitwa video controllers o nvidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza nika kupmmkuu hio ni gpu, gpu maarufu zipo za aina.mbili za nvidia na AmD.
video controller nafkiri umemaanisha video card, hizi zilikuwa zinatumika sana zamani, zenyewe haziongezi nguvu kama gpu ila zinaipa computer yako port zaidi.
gpu inafanya kazi zote za video card na inaipa pia nguvu desktop upande wa graphics
unaweza mkuu
sijaipata pm yako
pamoja mkuuNimefanikiwa leo. Nilikuwa nahangaika jinsi ya ku-switch between PC and Nox lakini hatimaye leo nimefanikiwa kuifanya hiyo movement. Toka kipindi kile umenitumia link nilikuwa napambana. Much respect mkuu.
Of course hata ningekwama ningeleta feedback.
Kuna game nmeweka kila nkitaka kufungua inasema steam Inactivepamoja mkuu
angalia folderla setup (installation)la hilo game utakuta kuna crack au folder jengine ndani kuna file kama tatu hivi za steam ambazo unatakiwa uzicopy na kuzipaste ulipo install game lako.Kuna game nmeweka kila nkitaka kufungua inasema steam Inactive
Nlikuwa natumia vga monitor b4 kwny laptop na ilifanya kazi vzr bt leo nme-connect inagoma kwny resolution sipati option ya 1280*1024angalia folderla setup (installation)la hilo game utakuta kuna crack au folder jengine ndani kuna file kama tatu hivi za steam ambazo unatakiwa uzicopy na kuzipaste ulipo install game lako.
Nlikuwa natumia vga monitor b4 kwny laptop na ilifanya kazi vzr bt leo nme-connect inagoma kwny resolution sipati option ya 1280*1024
Nawezaje kufix hii issue nipate resolution inayohitajiaka
Nimejaribu solution zote hizo lkn badoumejaribu solution ndogo ndogo kama ku restart pc? sometime unaweza kuta pc imeji update ila haija restart hivyo baadhi ya drivers hazofanyi kazi hadi uzime na kuwasha.
pia jaribu kuchomoa monitor kwenye umeme kisha chomeka tena uangalie.
pia jaribu kwenye setting za resolution pale kuna mod tofauti tofauti kama extended, au kueka kioo cha laptop kisitumike kitumike tu cha monitor au vise versa etc, jaribu mode tofauti tofauti
pia angalia monitor yako kama ina setting za HZ kama umeset HZ nyingi mfano 120HZ inaweza kataa kwenda resolution kubwa eka 60HZ hio ni default ya monitor nyingi.
picha ya kwanza juu kwenye display siku zote panaandika hivyo mobile pc display? halitokei jina la monitor? inakuwaje hapo ukibadili.Nimejaribu solution zote hizo lkn bado
Nimebadilisha cable imekubalipicha ya kwanza juu kwenye display siku zote panaandika hivyo mobile pc display? halitokei jina la monitor? inakuwaje hapo ukibadili.
cpu yako sio ya kisasa ila inatakiwa icheze games nyingi tu, games chache sana ndio zikatae.Mi processor yangu ni hii nashangaa inanzinguaga kwenye game inastackView attachment 573949
pamoja mkuuNimebadilisha cable imekubali
ok asantecpu yako sio ya kisasa ila inatakiwa icheze games nyingi tu, games chache sana ndio zikatae.
issue ni kwamba xeon hazina gpu kabisa, inabidi uinunulie gpu ndio iwe na maana,