Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,392
- Thread starter
-
- #2,681
Generation mkuu ni shortcut ya hayo uliyoyataja. Ukichagua gen ya kisasa automatic Ram inakua nzuri, core zinakua nyingi etc. Gen ya 11 i5 inaanzia angalau core 4 na thread 8, ram ddr4. Pia wingi wa core si kigezo pekee bali nguvu ya core pia.Dah shukrani nilijaribu kununua hapa Laptop nilichokutana nacho huko nisaidie mkuu 🤣🤣🤣 maana kimenitoa ushamba nimeenda kwenye filter nashangaa nimeandika core i5 nikaulizwa with hiw much procesor count sasa ikanichanganya kidogo so ukitoa generation kwamfano...
Ni hiyo core i5 with 11 generation na processor count ipi ni nzuri au number of core zipi ni nzuri...
I mean imenichanganya kidogo kuona processor type na processor count na generation na nimeona pia hapa kwenye GPU dedicated na integrated...na kuhusu Memory technology
Asante sana This was so usefullyGeneration mkuu ni shortcut ya hayo uliyoyataja. Ukichagua gen ya kisasa automatic Ram inakua nzuri, core zinakua nyingi etc. Gen ya 11 i5 inaanzia angalau core 4 na thread 8, ram ddr4. Pia wingi wa core si kigezo pekee bali nguvu ya core pia.
Gen ya 11 itaanziwa na 11 mfano i5 1135G7, gen ya 12 itaanziwa na 12 etc.
Pia sio lazima intel kuna amd pia, nayo iwe angalau ryzen 5000 series kuendelea.
Kuhusu GPU ni dedicated ndio maana nikakuambia kuhusu Nvidia.
Memory isikusumbua sana automatic laptop za hizo gen ni ddr4 na zitakua na ssd.
Ofisi yako Iko wap kiongoz nahitaj Moja wapo ya hizo mashine .Njoo pia nikupe hizi mashine kwa bei rahisi kabisa zikiwa na warranty.
1. Elitebook 840 G1, core i5 - 4th Gen, 256 GB SSD, 8GB RAM, 14 inch screen kwa 380,000.
2. HP elitebook 820 G2, Core i5 - 5th Gen, 256 GB SSD, 8 GB RAM, 12 inch screen kwa 380,000
3. Dell Latitude 7250, Core i5 - 5th Gen, 256 GB SSD Storage, 8GB RAM, 12 inch screen kwa 370,000.
Hii inaweza kuwa tatizo la flash ama ssd yenyewe,Chief na serious issue hapa
Hii mashine yangu ni 12gen Kila nikiweka window inadai hivo
Nimetumia Kila njia imeshindikna
Nimeingia google wameniambia nitumie RST
driver lakin bado
Inatumia SSD gb 250
View attachment 2814468
Shukran mkuu nimefanikiwa kuweka window hapo Kuna drive kama za touchpad wifi zime missHii inaweza kuwa tatizo la flash ama ssd yenyewe,
1. Hakikisha flash umetumia software kama Rufus ama zifananiazo kutengeneza bootable flash, sometime kucopy mafile tu inazingua.
2. Tumia usb 2.0 port kama ipo badala ya usb 3.0 kuepusha issue za driver.
3. Cheki ssd kama ipo sawa na ipo detected,
4. Sometime drivers pia zinaweza changia japo win 10/11 ina detect automatic.
Sema mkuu kama una internet ya uhakika download ile media creation tool ya Microsoft, iache idownload na kuweka windows kwenye flash yenyewe ili ipunguze headache za kudownload corrupt file ama kutoweka file vizuri kwenye flash.
Mkuu 12gen core ipi, ulipata kwa bei gani mkuu, specs zikoje.Chief na serious issue hapa
Hii mashine yangu ni 12gen Kila nikiweka window inadai hivo
Nimetumia Kila njia imeshindikna
Nimeingia google wameniambia nitumie RST
driver lakin bado
Inatumia SSD gb 250
View attachment 2814468
Touchpad na wifi utazipata website ya Manufacture.Shukran mkuu nimefanikiwa kuweka window hapo Kuna drive kama za touchpad wifi zime miss
Mkuu nna shida kidogo japo iko nje ya mada'Touchpad na wifi utazipata website ya Manufacture.
Kinaanza cha power vinafata viwili vya wireless na disk alafu kinawaka cha chaji mwisho icho cha power kinawaka rangi nyeupe vingine orangeHivyo vitaa havina Sequence ya kuwaka?
Hizo sequence ndio zinaelezea tatizo cheki sequence za model yako ama nitajie model husika nikuangalizieKinaanza cha power vinafata viwili vya wireless na disk alafu kinawaka cha chaji mwisho icho cha power kinawaka rangi nyeupe vingine orange
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hp elitebook 8470pHizo sequence ndio zinaelezea tatizo cheki sequence za model yako ama nitajie model husika nikuangalizie
Nimecheki sijapata exactly pattern zako ila solutions nyingi zinaelekea tatizo la Battery/adapter...
Nilichukua kwa mtu display ilikuwa imezingua ila nimeshauzaMkuu 12gen core ipi, ulipata kwa bei gani mkuu, specs zikoje.
wanauza ngapi mkuu.Chief Kuna duka Moja k.koo nimeona wanauza Lenovo core i7 11gen zinakua na Nvidia mx 350 nataka nichukue Moja kwa gaming vip itafaa maana ni used unaweza nipa pia makadirio ya bei nzur nicije kupigwa
1.2milionwanauza ngapi mkuu.
bei reasonable mkuu kwa gen 11 i7, hivi i5 8gen inaweza kwenda kwa bei gani mkuu, CPU tu.1.2milion