Eka program yoyote ya kuangalia joto la cpu, kama joto ni kubwa pengine cooler ya cpu haigusani na sehemu ya cpu vizuri hivyo joto halisafirishwi toka kwenye cpu.Nahitaji msaada wenu wakuu....nna laptop HP probook 440 g4 nikitumia bila AC yaan ikipata joto kidogo tu inazima ghafla bila error yeyote. Nimefanya maintenance kwenye vent hakuna vumbi wala obstruction yeyote, fan inazunguka, heat paste nimebadili, all updates nmefanya mpaka kwenye bios na pia matumizi yangu ni ya kawaida(MS Office, surf internet tena natumia edge browser) sina app inatia uzito na pia nimeilimit kutumia only one processor. Ikiwa kwenye AC au ubaridi inafanya kazi vizur kabisa na speed yake ipo vizuri kabisa
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
View attachment 2052063
Program kama ipi chief maana nilijaribu speedfan joto lilikuwa kawaida kabisa ila still inajizimaEka program yoyote ya kuangalia joto la cpu, kama joto ni kubwa pengine cooler ya cpu haigusani na sehemu ya cpu vizuri hivyo joto halisafirishwi toka kwenye cpu.
Joto kawaida kipindi inazima ama wakati unaangalia? Vyema upate exactly data kipindi inazima joto lilikuwa kiasi gani (log file litaandikwa kwenye text file)Program kama ipi chief maana nilijaribu speedfan joto lilikuwa kawaida kabisa ila still inajizima
Chief speedfan nilishaondoa baada ya kuona sipati data yoyote ya kusaidia though ilikuwa inanipa real time dataJoto kawaida kipindi inazima ama wakati unaangalia? Vyema upate exactly data kipindi inazima joto lilikuwa kiasi gani (log file litaandikwa kwenye text file)
Pia jambo jengine muhimu ni bios, kwenye bios kuna setting ikifika joto kiasi gani pc ijizime pia kuna option ya kuzifunga sensor za kuangalizia joto (kama unatumia speed fan na sensor haifanyi kazi ipasavyo utapata data ambazo si sahihi) hivyo vyema pia ukaingia bios.
Pc health ama system health ama kifananiachoChief speedfan nilishaondoa baada ya kuona sipati data yoyote ya kusaidia though ilikuwa inanipa real time data
Hapo kwenye bios ndo sijapaona nimepatafuta sana labda unisaidie napapata vipi
1. Jaribu kurun kama admin hilo gameChief-Mkwawa hili tatizo naweza kulitatuaje?View attachment 2053418
Nili-verify na mafile yote yalikuwepo hakuna lilomis1. Jaribu kurun kama admin hilo game
2. Uliverify mafile yote ulionstall yapo?
3. Kama ni crack pengine ant virus imekula mafile, cheki kama imekula yarudishe (angalia Quarantine)
Nimeona sehemu solution ni kurestart computer jaribu.Nili-verify na mafile yote yalikuwepo hakuna lilomis
Nimejaribu ila bado imegoma sahv inaleta notification ya DX11 feature level 10.0 is required to run the engineNimeona sehemu solution ni kurestart computer jaribu.
Hii ni 10th gen ice lake, si mbaya kama unaipata kwa reasonable price. Itafanya mambo ya kawaida kwa ufanisi mzuri tu.Chief-Mkwawa ukipata mda pitiaa hii kitu unishauriView attachment 2073973
Asante mkuu..nikitaka niichange na i3 -1005G1Hii ni 10th gen ice lake, si mbaya kama unaipata kwa reasonable price. Itafanya mambo ya kawaida kwa ufanisi mzuri tu.
Uta upgrade ila sio sana na graphics ni ile ile. Kama unaweza subiri gen ya 12 soon zitakuwa sokoni wamesha anounce laptop tayari january hii.Asante mkuu..nikitaka niichange na i3 -1005G1
Asantee mkuu...ubarikiweUta upgrade ila sio sana na graphics ni ile ile. Kama unaweza subiri gen ya 12 soon zitakuwa sokoni wamesha anounce laptop tayari january hii.
I3 tu ya Alderlake itakuwa na core za kutosha,
Mkuu hapo imeandikwa tu i5 zipo i5 nyingi sana vyema ungeijua ni ipi. Na unainunua bei gani.Nahitaji kununua laptop ya matumizi ya kawaida ikiwemo games. Laptop inafaa
Napenda HP brand pia SLIM
Na vipi kuhusu hiiView attachment 2098985
Core i5-6200U duo coreMkuu hapo imeandikwa tu i5 zipo i5 nyingi sana vyema ungeijua ni ipi. Na unainunua bei gani.