baba kayla
Member
- Mar 28, 2016
- 78
- 42
asante xn mkwawa ila nataka kujua ni jinsi gn mtu unaweza kuongeza ukubwa wa memory card au flash yaan kutoka 4gb kwenda 8 gb
huwezi kuongeza mpaka ununue nyengine yenye ukubwa zaidiasante xn mkwawa ila nataka kujua ni jinsi gn mtu unaweza kuongeza ukubwa wa memory card au flash yaan kutoka 4gb kwenda 8 gb
Hivi mkuu bado upo ? Mimi naweza kufanya hiyo huduma..nakufanyia kupitia kwenye simu halafu wewe nilipe vocha ntakayokupigia kukupa maelezo..asante xn mkwawa ila nataka kujua ni jinsi gn mtu unaweza kuongeza ukubwa wa memory card au flash yaan kutoka 4gb kwenda 8 gb
Unaongeza memory kwa maelekezo kwa simu!!!!Hivi mkuu bado upo ? Mimi naweza kufanya hiyo huduma..nakufanyia kupitia kwenye simu halafu wewe nilipe vocha ntakayokupigia kukupa maelezo..



Kwanini usituhabarishe hapa hapa mkuu iwe faida kwa wote?Hivi mkuu bado upo ? Mimi naweza kufanya hiyo huduma..nakufanyia kupitia kwenye simu halafu wewe nilipe vocha ntakayokupigia kukupa maelezo..
Ndio mkuu HDD inaweza fanya vitu kuwa slow.Sorry chief hivi karibuni HDD yangu ya 750gb imeharibika hapo mwanzo nilikua nikicheza game ya ets2 high graphics setting ila baada ya HDD kuanza kuleta error ikawa inaganda ganda hata nikieka low setting na PC kuwa slow mno, ila now imekufa kabisa hata haisomi
je HDD inaweza ikasababisha game kutorun vizuri sababu PC yangu iilikuwa inachza game zote vzuri tu.
HDD ya 150 GB na 250gb itakua Bei gani maduka ya dar, used na mpya Bei zake zpoje.
Thanks bossNdio mkuu HDD inaweza fanya vitu kuwa slow.
Na hizo HDD ndogo ni chini ya 50,000 nyengine mpaka 20,000 sema ni refurbished.
Aliexpress kuuziwa kitu feki nje nje, tafuta store nzuri yenye reputation kubwa.Hizi zipoje mkuu nataka nichukue 32 GB au 16 gb nifunge mkataba kabisa chief msaada ila naona A1 hapo sas sjui feki zipo Ali express.
Quad inamaanisha 4 mtu akikwambia Intel Quad core anamaanisha processor ya intel yenye core 4.Mtaalam kuna utofaut kati ya intel quad na celeron.ipi ipo latest na nguvu zaid
Asante.nimeona niichek lenovo L390Quad inamaanisha 4 mtu akikwambia Intel Quad core anamaanisha processor ya intel yenye core 4.
Celeron ni processor ya intel ya mwisho kabisa i9, i7, i5, i3, pentium halafu Celeron. Mara nyingi haina nguvu.
Zipo intel Quad core nyingi na zipo celeron nyingi cha muhimu ujue majina yake, ingia my comouter ama this pc kisha right click chagua properties kujua Exactly jina la processor.
L390 kwa i5 sio mbaya ni 8th/9th genAsante.nimeona niichek lenovo L390