MUONGOZO WA KUNUNUA LAPTOP

Kama huna haraka subiria Alderlake gen ya 12 intel baadae mwakani zinatoka. Much better kwenye perfomance na ukaaji chaji.

Tunaongelea core za kutosha zaidi ya 10.

Kama una haraka sana i3 gen ya 11 unapata kwa hio budget mpya.

Pia kama una subiria deals mbalimbali unapata mpya gen ya 11 i5
 
Back
Top Bottom