Muongo mmoja ni miaka kumi. Huu ni muongo wa pili wa karne hii ya 21. Muongo wa kwanza ulianza mwaka 2000 na kuishia 2009, wa pili 2010 hadi 2019 na huu wa tatu unaanza leo hadi 2029. Karne ni miaka 100. Sasa tupo karne ya 21 ambayo ilianza mwaka 2000 hadi 2099. Nawasilisha.