Muonekano wako umechangiaje kufaulu au kufeli kwenye maisha yako?

Wadada nikikutana nao huwa wanaficha simu zao na kuigandamiza mikoba yao makwapani..
Wavuta bangi(wale wasela mavi) wakinikuta nimekaa sehemu wakiroll kitu lazma wanipe nianzishe japo situmiagi...
Nishawahi kuzuiliwa getini na mlinzi hadi nlipopiga simu kwa bosi wake ndo akaruhusu nipite...
Shule nilikua natoroka kwa kupita getini na mlinzi hanizuii, hadi washkaji wakaanza kuhisi natumia dawa...
... Mie mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo sometimes huwa nashtuka..
Cha ajabu nishawahi kutongozwa na mademu watatu alafu wazuri tu hadi nikawa najishangaa..
... Mbaya zaidi hata waalimu shule walikua wanaogopa kuniadhibu wanasakiziana..
... Mwonekano wangu ushaninyima vitu vingi sana ila fresh tu si ndo nilivyo acha niishi nao..
... Huwa najifariji na msemo... Sura sio roho 😂😂
.......... Mlevi...

hata avatar na ID yako huwa vinampa tabu sana mods akitaka kukupiga ban anaghairi gafla
 
Jaama ana shahada ya uhandisi wanae wote aliosoma nao wako vitengo muhimu Ila yeye Hadi leo hakueleweki.

Ni mtu mwenye uwezo Sana kiakili Ila dini inamlostisha kula shavu .

Unaenda kwenye intavyuu umevaa kanzu,kobazi,ndevu zina rangi nyekundu ,una kipara ,au bharaghashia

Lazima wakuogope dress code tu imekushinda



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Uhandisi wa kutengeneza vilipuzi. Full kujilipua hao jamaa. Hatari Sana hao wakishajazwa ujinga mjengoni Basi wao wanaenda tu ka nyumbu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom