Muonekano wa mto maeneo ya ubungo

Muonekano wa mto maeneo ya ubungo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
attachment.php

attachment.php
attachment.php


Sehemu ya mto huo inavyoonekana hivi sasa.
​

KAMERA
yetu imefanikiwa kutembelea eneo la mto unaopita katika daraja lililopo eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam na kujionea uharibifu uliofanywa na watu wanaochimba mchanga.
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    85.3 KB · Views: 592
  • 3.jpg
    3.jpg
    67.3 KB · Views: 581
  • 4.jpg
    4.jpg
    119.5 KB · Views: 587
Mkuu we acha nasikia pale kuna jamaa wa halmashauri ni kamradi kao kila wakitokea wanachukua hela wanasepa kwa iyo wachimbaji wapo huru sana na mvua iliyopita ndio imekula mbaya kiasi iyo njia gari mbili hazopishani kwa sasa na kulikuwa na upana wa kupishana hata na lory nategemea mvua ikija tena ya mana kutakuwa hakuna njia kabisa na ukuta uwo utakuwa umechukuliwa ni sheeedaa.
 
Ama kweli kikulacho maongoni mwako hapo ni masilai tuu na kama kuna kerro za wana nchi basi wamsubiri malaika aje kuwatengenezea au aje obama
 
uharibifu huu utakuja kutuhukumu sisi wenyewe haki ya nani
 
Back
Top Bottom