Muonekano wa jezi mpya ya Taifa Stars

Muonekano wa jezi mpya ya Taifa Stars

Mr. SADC_TZ

Senior Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
105
Reaction score
22
Jezi za nyumbani: J na D. Kama ni moja basi J. Jezi za ugenini ni A na F, kama ni moja basi A. Nimechagua mbili mbili sababu nina uhakika tunaweza enda cheza kwa watu tukakuta mwenyeji wetu anafanana na away kit zetu, hivyo inatupa fursa ya kubadili.
 
Back
Top Bottom