Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Kazi ipo? naona katuonyesha na hereni kabisa, Naskia hizo hereni hua zina maana zake! Lord have mercy on us..
 
Vipi nguo za mitumba mpenzi utavaa? (Yeah) basi mohoroo

kijana kaharibuuu
 


Ben Pol anavaa heleni sana tu.

Wasanii wa bongo fleva wasiovaa heleni ni wa kuhesabu.

Siku hizi wanashindana kuvaa heleni. Mpaka Juma Nature kaanza kuvaa heleni siku hizi, hahahaa Juma kapoteza Nature.

Hovyoooo kabisa!

-Kaveli-
 
Duuuuh nimeona vigelegele nikadhani kuna mtu kaolewa...
Aiseeee
 
Hivi kwanini hili pepo la 'kushikishwa UKUTA' linakuja kwa kasi sana Africa?

Hawa madogo hizi style zao za kutafuta 'kiki' walahi mwishoe wataanza kuvaa cheni guu la kushoto.

-Kaveni-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…